Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

Tumaini Makene bado ndiye msemaji wa Chadema?

Wale jamaa kila mtu kambale...halafu wengine ni njaa tu inawasumbua ndio maana CCM inawajulia ikiona moto mkali....wale COVID 19 walifikiri wakaona kukaa njaa 5yrs si mchezo, ile inatosha kutuambia wale ni kina nani....
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
Amehamia CCM, furahi basi
 
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA.

Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?

Jumaa kareem
Kwa swali hilo inaonekana upo mbali sana na mambo ya cdm.
 
Kwa swali hilo inaonekana upo mbali sana na mambo ya cdm.
Ni mwanakijani bila shaka japo anapenda chadema sana, sijui wanakijani wenzie wanamtisha anashindwa kufanya uamuzi huru?
 
Back
Top Bottom