Existentialist
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 554
- 377
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!
Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!
Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!
Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Truely said....:majani7:Pole zako, we unataka mshahara mkubwa kwa experience gani?Kwa situation ya sasa na mfumo wetu wa elimu wa kumeza, sishaur 'freshers' mkaleta poz sana coz mnavjua vichache sana ndani ya ajira...na hapo ndipo hao unaosema ni wa TUMAINI wanapowapiga bao!
Labda nikupe mfano, my fiancee x Tumaini mara tu baada ya kumaliza alfanya kaz za kujtolea na short contract za kutosha, ndani ya mwaka CV yake na anavyovijua ni mara dufu ya vile nivfuavyo mimi na specialization yangu...nw, anauwezo wa kuomba kaz with more confidance to burgain benefits .... wewe je?
eVERY SOUL MUST BE SELDOM SEMI-FINAL HAHAHAHA MPE KHABARI KIJANA HUYO MBULULAwewe usiwe mbulula kiasi hicho, hivi we unawaona wapi hao wahitimu wa tumaini, wewe ndo unawatembelea kila waliko na kuwauliza mishahara yao? hazikutoshi wewe kwanza jaribu kusoma alama za nyakati.... kama ulisoma ili uajiriwe pole saaana utakesha....
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!
Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!
Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!
Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hivi ni grauates au GRADUANDS?
najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!
Wahitimu wengi wanaotoka tumaini & cbe universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!
Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa udsm, mzumbe & ifm kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!
Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!
Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums
Tumaini wenyewe wadesaji tu na kuuza mjini hapa, Legal and human rights center ilitangaza nafasi ya kazi kwa graduate wa law. basi ktk kupitia maombi na kushort list wakawapik watu wa tumaini coz wanamarks kubwa. duuh hawakuamini siku ya interview mtu anaulizwa aelezee kile alichosomea hawezi, ikabidi wapigwe chini watu wa marks ndogo wa udsm na mzumbe ndio waitwe kwa interview na ndo angalau waliweza kumeet vigezo....so mie wala hawanitishi kwani najua they cant compete whe
Hoja yako itakua katika misingi ya chuki zinazotokana na kukosa kazi. Haya ulioyasema hapa sio ya kweli.
Watu walioitwa kwenye interview ni kutoka vyuo mbali mbali nchini na nje ya nchi. kipimo kikubwa cha kupata ajira ni umahili sio GPA.
Wewe kama ulikosa basi jitahidi kua competent kwenye fani yako kuliko kuanza kutunga uongo usiokua na tija na hata wewe uongo huu hautakusaidia kupata kazi kwa kuhurumiwa.
Note: Acha kutumia title ya chuo kuombea kazi, tumia kilichomo kichwani mwako.