Tumaini university graduates acheni kuendekeza njaa!!!!

Existentialist

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
554
Reaction score
377
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!

Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!

Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!

Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Pole zako, we unataka mshahara mkubwa kwa experience gani?Kwa situation ya sasa na mfumo wetu wa elimu wa kumeza, sishaur 'freshers' mkaleta poz sana coz mnavjua vichache sana ndani ya ajira...na hapo ndipo hao unaosema ni wa TUMAINI wanapowapiga bao!
Labda nikupe mfano, my fiancee x Tumaini mara tu baada ya kumaliza alfanya kaz za kujtolea na short contract za kutosha, ndani ya mwaka CV yake na anavyovijua ni mara dufu ya vile nivfuavyo mimi na specialization yangu...nw, anauwezo wa kuomba kaz with more confidance to burgain benefits .... wewe je?
 
acha kuropoka ww btw cbe co university. na usifundishe watu ujinga as far as im satisfied i take d salsry. how much do u want me 2b paid?
 
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!

Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!

Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!

Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

wewe usiwe mbulula kiasi hicho, hivi we unawaona wapi hao wahitimu wa tumaini, wewe ndo unawatembelea kila waliko na kuwauliza mishahara yao? hazikutoshi wewe kwanza jaribu kusoma alama za nyakati.... kama ulisoma ili uajiriwe pole saaana utakesha....
 
una uhakika unachosema?,tunaomba uthibitisho kama hilo lina ukweli kwa kiasi gan?
 
Pole zako, we unataka mshahara mkubwa kwa experience gani?Kwa situation ya sasa na mfumo wetu wa elimu wa kumeza, sishaur 'freshers' mkaleta poz sana coz mnavjua vichache sana ndani ya ajira...na hapo ndipo hao unaosema ni wa TUMAINI wanapowapiga bao!
Labda nikupe mfano, my fiancee x Tumaini mara tu baada ya kumaliza alfanya kaz za kujtolea na short contract za kutosha, ndani ya mwaka CV yake na anavyovijua ni mara dufu ya vile nivfuavyo mimi na specialization yangu...nw, anauwezo wa kuomba kaz with more confidance to burgain benefits .... wewe je?
Truely said....:majani7:

saadmad at BACD 2011-2014
 
wewe usiwe mbulula kiasi hicho, hivi we unawaona wapi hao wahitimu wa tumaini, wewe ndo unawatembelea kila waliko na kuwauliza mishahara yao? hazikutoshi wewe kwanza jaribu kusoma alama za nyakati.... kama ulisoma ili uajiriwe pole saaana utakesha....
eVERY SOUL MUST BE SELDOM SEMI-FINAL HAHAHAHA MPE KHABARI KIJANA HUYO MBULULA

saadmad at BACD 2011-2014
 
anaWATANIA TU JAMANI KWANI KWELI?? MI MNANITISHA MLIVYOHAMAKI. KWANZA NI NGUMU KUJUA WAHITIMU WOTE NA MAHALI WALIPOAJIRIWA NA KIASI CHA MSHAHARA, labda aliona wawili au watatu!.
 
Shida ya graduates wengi mnakuwa na too much expectations. Unadhani mshahara wa kwanza tu utanunua gari na kujenga nyumba. Pokea mshahara wowote kulingana na salary scale ya sehemu husika
 
Ajira zilivyo za tabu watu wanatafuta hata mahali pa kujitolea bila mshahara ili wapate experience na kujenga CV zao. Kalagha baho.
 
Tumaini wenyewe wadesaji tu na kuuza mjini hapa, Legal and human rights center ilitangaza nafasi ya kazi kwa graduate wa law. basi ktk kupitia maombi na kushort list wakawapik watu wa tumaini coz wanamarks kubwa. duuh hawakuamini siku ya interview mtu anaulizwa aelezee kile alichosomea hawezi, ikabidi wapigwe chini watu wa marks ndogo wa udsm na mzumbe ndio waitwe kwa interview na ndo angalau waliweza kumeet vigezo....so mie wala hawanitishi kwani najua they cant compete when it comes to nafasi za ukweli za kwenye mashirika ya ukweli. wanachojua ni kujiremba na usista duu mjini hapa. Najua mtabweka sana lakini ukweli ndio huo na nishausema
 
hahahahaha ligi za vyuo bhana...... mdau endelea kusubiri mshahara mkubwa waache wenzio watafte uzoefu kwanza alafu baadae watatafuta mshahara mkubwa... naamini kupanga ni kuchagua.....
 
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!

Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!

Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!

Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hivi ni grauates au GRADUANDS?
 
najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!

Wahitimu wengi wanaotoka tumaini & cbe universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!

Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa udsm, mzumbe & ifm kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!

Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!

Sent from my blackberry 9300 using jamiiforums

hongera kwa uchunguzi wako,ila ongeza uchunguzi zaidi kwa kuongeza uwigo wa taarifa,vyanzo vya taarifa,nyenzo na punguza upendeleo wa aina yoyote kisha njoo tena utuletee taarifa ya uchunguzi wako uliokamilika na wenye sifa dhabiti
 
Tumaini wenyewe wadesaji tu na kuuza mjini hapa, Legal and human rights center ilitangaza nafasi ya kazi kwa graduate wa law. basi ktk kupitia maombi na kushort list wakawapik watu wa tumaini coz wanamarks kubwa. duuh hawakuamini siku ya interview mtu anaulizwa aelezee kile alichosomea hawezi, ikabidi wapigwe chini watu wa marks ndogo wa udsm na mzumbe ndio waitwe kwa interview na ndo angalau waliweza kumeet vigezo....so mie wala hawanitishi kwani najua they cant compete whe

Hoja yako itakua katika misingi ya chuki zinazotokana na kukosa kazi. Haya ulioyasema hapa sio ya kweli.

Watu walioitwa kwenye interview ni kutoka vyuo mbali mbali nchini na nje ya nchi. kipimo kikubwa cha kupata ajira ni umahili sio GPA.

Wewe kama ulikosa basi jitahidi kua competent kwenye fani yako kuliko kuanza kutunga uongo usiokua na tija na hata wewe uongo huu hautakusaidia kupata kazi kwa kuhurumiwa.

Note: Acha kutumia title ya chuo kuombea kazi, tumia kilichomo kichwani mwako.
 
Mshahara mkubwa huja baada ya kufanya kaz inayoonekana, bosi mwenyewe anaongeza salary bila hata kuombwa. Issue ni kuingia, wajanja huomba hata kaz ya umesenja ili mradi aingie tu maana anajua hapo kuna fursa. Nawapongeza wanaochukua kidogo kwanza, kaz hazpatkan kwa sasa kiurahsi.
 
Najua kwa namna moja au nyingine ntawakela ila ujumbe utakuwa umefika!!!

Wahitimu wengi wanaotoka Tumaini & CBE universities wanaendekeza njaa kwan wamekuwa wanakubali mishahara midogo hasa wanapokua kwenye salary negotiation!!!!

Matokeo yake hii inawafanya waajiri wengi kuacha kuchukua vijana kutoka vyuo vingne hasa UDSM, Mzumbe & IFM kwa kudai kuwa wanapenda mishahara mikubwa!!!!

Chonde chonde ndugu zanguni acheni kuendekeza njaaa!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

eti nasikiaga vitu vya kenye ntavua aka interview huwa ni siri au nilidanganywa..😕😕
 
Back
Top Bottom