Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Salaam Wakuu,
Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo.
Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu, imekuwa kawaida kuwepo kwa tetesi nyingi kumuhusu. Kwa sasa zipo tetesi kwamba Yanga wameweza kumshawishi aende kuwatumikia huku tetesi nyingine zikidai anabaki Simba.
Wewe kama mdau wa soka ukiachana na utimu, unafikiri lipi jambo litakuwa na manufaa kwa timu na kwa mchezaji kati ya yeye kubaki Simba au kwenda Yanga?
Tupia madini yako hapa