chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Gypsum na Gold wapi na wapi......vi-US kelele tu hakuna.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu kama St. Peters pale Basilica .....VaticanHiyo ya Urussi nikadhani ni Sistine Chapel Vatican..
Ya Urussi imtulia mno
Mkuu ile kitu inayowaka waka ni dhahabu pure au?? sema ikulu imedumu mda mrefu sana toka mwaka 1700Urusi ipo vema mno.
bado kremlin ni ya gharama sanaTafuteni palace ya mfalme wa Brunei
Kisha linganisheni na whitehouse na Kremlin
hahah mkuu kumbe na wewe umona hilo. halafu ikulu ya kremlini ni kubwa mno na imetengenezwa kwa vito vya gharama sana na ni ya muda mrefu sana toka mwaka 1700Gypsum na Gold wapi na wapi......vi-US kelele tu hakuna.....
kwani hujui orthodox ndo kila kitu urusiKweli mkuu kama St. Peters pale Basilica .....Vatican
sikiweza kuweka zote we tembelea hiyo link uone mambo ya mrusiUrusi picha ni chache hatujaelezwa kwann ziko chache na za US nyiiingiii
Kasri ya kifalme mkuu ndo zinavyoklua kwan russia ilikua chini ya ufalme miaka ya nyumaSipendi nyumba inayokaa kama art gallery ama opera house, inachanganya akili.