Tumalize ubishi;Mkojo wa Ngedere Vs Riyama Ally nani bingwa wa kuchamba

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu leo nataka tumalize ubishi unaoendea kati ya hawa vinyori nyori vigoli watoto wa uswazi /wapenda miguu ya kuku na mihogo ya kukaanga chipsi yai kwao ni haramu[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hao vinyori vyori si wengine bali ni Tatu Kipepe/Tatu Mzaramu mimi napenda kumuita Tatu vijora au mkojo wa ngedere na huyu mwanadada asiyekuwa na mpinzani linapokuja suala zima la kubeba uhalisia hasa wa kuliakwenye kideo/filamu/tamthilia hapa namzungumzia Riyama Ally

Yupi hapo anachamba sana kuliko mwengine ?

Maana huko Insta naona kumeibuka ubishani mkubwa kuhusu hawa watu wawili.



Mkojo wa ngedere.

Riyama Ally.
 
Wakaka wa dar kwenye ubora wenu[emoji23]
 
Wanaume wa dar taaabu sana aisee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…