Tumalize ubishi;Mkojo wa Ngedere Vs Riyama Ally nani bingwa wa kuchamba

Tumalize ubishi;Mkojo wa Ngedere Vs Riyama Ally nani bingwa wa kuchamba

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wakuu leo nataka tumalize ubishi unaoendea kati ya hawa vinyori nyori vigoli watoto wa uswazi /wapenda miguu ya kuku na mihogo ya kukaanga chipsi yai kwao ni haramu[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hao vinyori vyori si wengine bali ni Tatu Kipepe/Tatu Mzaramu mimi napenda kumuita Tatu vijora au mkojo wa ngedere na huyu mwanadada asiyekuwa na mpinzani linapokuja suala zima la kubeba uhalisia hasa wa kuliakwenye kideo/filamu/tamthilia hapa namzungumzia Riyama Ally

Yupi hapo anachamba sana kuliko mwengine ?

Maana huko Insta naona kumeibuka ubishani mkubwa kuhusu hawa watu wawili.


Je+ungependa+niwe+wifi+yako_.+Je+ungependa+niwe+mkeo_..jpg

Mkojo wa ngedere.

-+KINTUGANI.....____+%40swahiliclassictz+%40leomysteriotz+_smirk__eye_roll_.jpg
Riyama Ally.
 
Wakuu leo nataka tumalize unaoendea kati ya hawa vinyori nyori vigoli watoto wa uswazi /wapenda miguu ya kuku na mihogo ya kukaanga chipsi yai kwao ni haramu[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Hao vinyori vyori si wengine bali ni Tatu Kipepe/Tatu Mzaramu mimi napenda kumuita Tatu vijora au mkojo wa ngedere na huyu mwanadada asiyekuwa na mpizani linapokuja suala zima la kubeba uhalisia hasa wa kuliakwenye kideo/filamu/tamthilia hapa namzungumzia Riyama Ally

Yupi hapo anachamba sana kuliko mwengine ?

Maana huko Insta naona kumeibuka ubishani mkubwa kuhusu hawa watu wawili.


View attachment 686078
Mkojo wa ngedere.

View attachment 686079Riyama Ally.
Wakaka wa dar kwenye ubora wenu[emoji23]
 
Wanaume wa dar taaabu sana aisee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Back
Top Bottom