Tumalize utata: Chama Vs Moloko

watu awajikiti kwenye mada kwasababu vipimo vyako ulivyoleta ni famba.
Kwanini mkuu, ina maana Moloko anamzidi Chama kiasi kwamba ni kosa kuwalinganisha na kuwafanyia uchambuzi? Kwani Moloko anacheza PSG kwamba hatakiwi kulinganishwa na makinda wengine? Tujaribu kuwa fair
 
Moloko na Chama ni mbingu na ardhi ndio maana unaona uzi hauna mvuto.

wachangiaji wanaleta uchale kwenye uzi wako kwasababu uzi wenyewe ni uchale tuπŸ˜…πŸ˜‚
 
Moloko akiingia kwenye timu ya wiki ya hata kombe la Shirikisho njoo hapa ulete mada mpya.
Trippel C ni level nyingine.Ila kwa ukichaa unaweza kudiriki kuwalinganisha.
 
Uchambuzi wa mpira ni taaluma sio kila Tom and Dick ana uwezo wa kutambua hilo.Ila kuna commonsense pia ikiwa haitumiki ni kosa kubwa.
 
Kila mkiamka mnamuwaza mume wenu Chama. Safari hii atawatia mimba kila mmoja mkakutane naye wodi ya wazazi
 
Uchambuzi wa mpira ni taaluma sio kila Tom and Dick ana uwezo wa kutambua hilo.Ila kuna commonsense pia ikiwa haitumiki ni kosa kubwa.
Jikite kwenye mada mkuu unawachambuaje wachezaji hawa?
 
Chama kashalinganishwa na kila mtu huko kinyesini,bado kimfananisha na hersi tu
 
mwisho mtaleta mada Chama na Nabby nani zaidi utopolo tulieni Chama ni habari nyingine
 
Mtakatifu Chama ni kitu kingineπŸ‘‡πŸ˜πŸ˜πŸ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Nilijua ww ni roboti na ile comment yako kwenye nyuzi zinazohusu Simba....maana huwa haibadilki... πŸ˜† πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…