Tumalize utata: Chama Vs Moloko

Tumalize utata: Chama Vs Moloko

watu awajikiti kwenye mada kwasababu vipimo vyako ulivyoleta ni famba.
Kwanini mkuu, ina maana Moloko anamzidi Chama kiasi kwamba ni kosa kuwalinganisha na kuwafanyia uchambuzi? Kwani Moloko anacheza PSG kwamba hatakiwi kulinganishwa na makinda wengine? Tujaribu kuwa fair
 
Moloko na Chama ni mbingu na ardhi ndio maana unaona uzi hauna mvuto.

wachangiaji wanaleta uchale kwenye uzi wako kwasababu uzi wenyewe ni uchale tu😅😂
 
Moloko akiingia kwenye timu ya wiki ya hata kombe la Shirikisho njoo hapa ulete mada mpya.
Trippel C ni level nyingine.Ila kwa ukichaa unaweza kudiriki kuwalinganisha.
 
Uchambuzi wa mpira ni taaluma sio kila Tom and Dick ana uwezo wa kutambua hilo.Ila kuna commonsense pia ikiwa haitumiki ni kosa kubwa.
 
Kila mkiamka mnamuwaza mume wenu Chama. Safari hii atawatia mimba kila mmoja mkakutane naye wodi ya wazazi
 
Uchambuzi wa mpira ni taaluma sio kila Tom and Dick ana uwezo wa kutambua hilo.Ila kuna commonsense pia ikiwa haitumiki ni kosa kubwa.
Jikite kwenye mada mkuu unawachambuaje wachezaji hawa?
 
Chama kashalinganishwa na kila mtu huko kinyesini,bado kimfananisha na hersi tu
 
Mtakatifu Chama ni kitu kingine👇😁😁😁
 
Nilijua ww ni roboti na ile comment yako kwenye nyuzi zinazohusu Simba....maana huwa haibadilki... 😆 😆
 
Back
Top Bottom