Tumalize utata: Chama Vs Moloko

Tumalize utata: Chama Vs Moloko

Kuna kijiwe hapa Wana discuss wanasema eti

Kuna mmoja hapo uchezaji/performance inategemea wamekutana na mpinzani gani na timu Yao inachezaje, wanaongezea kwa kusema mara nyingi ata perform vizuri na kuonekana pale mpinzani wao akiwa dhaifu na kazidiwa kila kitu na timu yake lakini wakikutana na timu ambayo imewa-dominate mwamba uwa anapotea mazima, wamesema na ushaidi wa mechi wanao kama mnataka.

Then kwa huyo mwingine acceleration yake na speed yake imekua ni nguzo imara kwa timu yake aswa kwenye ku-break backline ya wapinzani, wanaongezea uwezo wake wa ku-sprint unaisaidia sana timu yake na tofauti yake na huyo wa mwanzo ni kwamba Hata timu yake ikiwa Haina mpira/imetawaliwa na mpinzani uwa anaisaidia sana timu yake wakati wa counter attacks.

Ngojeaa niendelee kusikiliza soga zao.
Upo sahihi mkuu, Moloko yupo faster sana pale timu inapokuwa ina umiliki wa mpira pia yupo haraka kucover position na huwa ni mbaya zaidi anapotokea kushoto, Nguvu ya Chama ipo katika mipenyezo, yaani anasubiri mipira ya mipenyezo ili aweze kufunga goli na anao uwezo wa kufunga katika hali ngumu kwa sababu huwa anabutua tu bila kudrive mpira.
 
Nadhani Uwezo wa Moloko upo katika kutafuta mipira na kuwahi kushuka chini kwa kushtukiza ( kumbuka goli lake dhidi ya GG) pia ni mwepesi kuitumia nafasi inapotokea.Upande wa pili wa Chama ni eneo la katikati yaani mipira inayotokea katikati ni mwepesi kuichukua na kufanya maamuzi.
 
Thinking capacity brain ya chama sio ya kawaida hata akiwa Hana mpira .kiufupi huwezi kuwaza chama atafanya Nini akipata mpira.speed yake ni kama ya Kobe mzee.Chama atakubeba timu ikiwa inamiliki mpira tofauti na hapo ni Christian ronaldo aliyepoa.moloco kwenye kukaba atakupa kitu , speed atatukapa kitu, kwenye energy atakupa kitu na kwenye kusachi beki za timu pinzani Kuna kitu utaona
 
Kuna kijiwe hapa Wana discuss wanasema eti

Kuna mmoja hapo uchezaji/performance inategemea wamekutana na mpinzani gani na timu Yao inachezaje, wanaongezea kwa kusema mara nyingi ata perform vizuri na kuonekana pale mpinzani wao akiwa dhaifu na kazidiwa kila kitu na timu yake lakini wakikutana na timu ambayo imewa-dominate mwamba uwa anapotea mazima, wamesema na ushaidi wa mechi wanao kama mnataka.

Then kwa huyo mwingine acceleration yake na speed yake imekua ni nguzo imara kwa timu yake aswa kwenye ku-break backline ya wapinzani, wanaongezea uwezo wake wa ku-sprint unaisaidia sana timu yake na tofauti yake na huyo wa mwanzo ni kwamba Hata timu yake ikiwa Haina mpira/imetawaliwa na mpinzani uwa anaisaidia sana timu yake wakati wa counter attacks.

Ngojeaa niendelee kusikiliza soga zao.
Ni kweli mana game Vs As vita ilkua dhaifu game Vs nkane Game vs gendamarine Vs uto 4_1 zote zilikua easy game kwa lunyasi
 
Thinking capacity brain ya chama sio ya kawaida hata akiwa Hana mpira .kiufupi huwezi kuwaza chama atafanya Nini akipata mpira.speed yake ni kama ya Kobe mzee.Chama atakubeba timu ikiwa inamiliki mpira tofauti na hapo ni Christian ronaldo aliyepoa.moloco kwenye kukaba atakupa kitu , speed atatukapa kitu, kwenye energy atakupa kitu na kwenye kusachi beki za timu pinzani Kuna kitu utaona
Nadhani umemaliza kila kitu! Upo sahihi kabisa.
 
Hivi wanaosema Sema Chama anakuwa mbaya team ikizidiwa, na mzuri team ikiwa inamiliki mpira, wanawaza nini ? Hivi nichezaji gani anakuwaga bora team ikiwa imezidiwa? Juzi tu Argentina ilifungwa na na Saudia na Messi akiwa ndani.

Tunachoangalia ni overall performance ya mchezaji katika team. Chama ameamua mechi nyingi sana muhimu kwa Simba ukianza ya Nkana, Al alhy, AS Vita na ya juzi ya Horoya. Amekuwa bora siku zote, killer pass nyingi sana, statistics zake za ndani ya ligi yetu na nje kwa maana ya mashindano ya caf yanambeba Chama, So far ndy top scorer kwa hii Champions league. Tatizo mnapenda kujadili mambo kwa ushabiki kuliko uhalisia, na mnajadili bila ya kuwa na takwimu.
 
Mwisho wa siku mje mumshindanishe chama vs mwiko wenu kule nyuma kumbaaaaaaffffff
 
Tujikite kwenye mada mkuu, Kisinda level yake ni ya juu sana, hapa tunawazungumzia hawa makinda chama na mchezaji Moloko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaaah
 
Yanga na sisi tumezid ujinga hivi hata Kama hujui mpira kweli unaweza weka mizania sawa Kati ya Chama na moloko???. Kuna nyakati chama apewe haki yake Bila kujali ushabiki. Chama kwa Sasa haihitaji kushundanishwa na wachezaji wa NBC tena hana ambacho hajafanya. Moloko linganisha na kina Kibu,Peter Banda,sakho.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Duh!,wenye kuujua mpira hii comment wanabaki wanashika vichwa.
Yanga na sisi tumezid ujinga hivi hata Kama hujui mpira kweli unaweza weka mizania sawa Kati ya Chama na mokoko???. Kuna nyakati chama apewe haki yake Bila kujali ushabiki. Chama kwa Sasa haihitaji kushundanishwa na wachezaji wa NBC tena hana ambacho hajafanya. Moloko linganisha na kina Kibu,Peter Banda,sakho.
Tujikite kwenye uchambuzi na uhalisia tafadhali
 
Back
Top Bottom