Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

Tumalize Utata: Eto'o Vs Drogba

tunaweza kutumia mbinu za wagiriki zenye kuambatana na udambwi udambwi wa fitina na ushirikina

Ile Giriki ya 2004 ilikuwa shida, nilipata bahati ya kutazama karibia game zake zote kwenye ile EURO 2004.

Noma sana.
 
miaka 16 iliopita...wazee wa goli 1
utafikiri walikuwa na ukuta wa franco baresi na paolo maldini

Nakumbuka Ufaransa walikalishwa kimoja tu, kulikuwa na beki yuko bega kwa na Thierry, kila Thierry akikimbilia huku, jamaa yuko naye tu.
 
samuel etoo amemzidi didier drogba maeneo yote muhimu kuanzia
  1. mafanikio ya timu ya taifa (drogba amefeli eneo hili, kibaya zaidi taifa lao lilijengwa na kizazi cha dhahabu hivyo basi hakuwa na kisingizio kama mbwana samatta)
  2. mafanikio ya klabu
  3. mafanikio binafsi
etoo ni de lima mweusi
 
Samuel Eto'o alikuwa ni zaidi ya mchezaji. Alikuwa anajua mpaka kukaba. Mpaka leo naamini aliondolewa Barcelona kwa sababu ya rangi yake ili asivunje rekodi za wazungu.

Drogba nje ya Mourinho alikuwa mchezaji wa kawaida tu!
 
Zama zimebadilika sana, wakati ule ilikuwa Africa Cup of Nations imejaa A listed players wa Ligi kubwa za Ulaya.

Unakuta 1[SUP]st [/SUP]eleven ya mataifa kama Nigeria, Senegal, Ivory Coast, Cameroun, Mali (kwa mwaka walioandaa mashindano), Ghana etc yamejaa miamba inayotikisa huko Ulaya.

Leo hii wachezaji wa Africa unawatafuta kwa tochi, sasa kama Africa tumefika mara 2 tu robo fainali kipindi cha hao nguli, tusahau tena hiyo nafasi.

Nowadays Afcon imepoteza mvuto halafu wachezaji wa kiafrika mastaa nao ni wabinafsi wameweka mbele maslahi ya vilabu vyao.

Zamani Afcon ilikuwa raha sana Morocco unawakuta akina Mustapha Hadji, Cameroon unawakuta akina Njitap, Rigbert Song, Mboma, Etoo, Ndiefi.

Senegal kuna alina Fadiga, Diouf, Salif Diao, Bouba Diop. South Africa unawakuta akina Sibusiso Zuma, Lucas Radebe, Siyabonga Nomvethe, Quinton Fortune, Shaun Bartlett.

Nigeria unawakuta akina Okocha, Taribo, Kanu, Agahowa, Oliseh bila kusahau na ile ngoma yao maarufu[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kwani Eto'o hakucheza Uingereza Mkuu? Kwa faida yako, amecheza Chelsea 2013-2014; Everton 2014-2015; Inter Milan 2009-2011, Barcelona 2004-2009 na timu nyingi nyingine
Pia soka la kulipwa alianzia Real Madrid kisha alipita Espanyol na Real Mallorca kabla ya kununuliwa na Barcelona.

Samwel Eto'o Fils huyu ndie mwamba wa soka Africa.
 
Eto'o was far better than Drogba.......
Nilichukia tu alipopiga hat trick yake ya mwisho manutd...... Iliniuma lkn niliipenda coz ni moja kati ya wachezaji wachache wa kiafrica nilokua nawa admire mnoooo
 
Back
Top Bottom