Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaweza kutumia mbinu za wagiriki zenye kuambatana na udambwi udambwi wa fitina na ushirikina
miaka 16 iliopita...wazee wa goli 1Ile Giriki ya 2004 ilikuwa shida, nilipata bahati ya kutazama karibia game zake zote kwenye ile EURO 2004.
Noma sana.
miaka 16 iliopita...wazee wa goli 1
utafikiri walikuwa na ukuta wa franco baresi na paolo maldini
Mane anacheza golfSamuel Etoo alikua Nyoko bahati mbaya siku hizi hatuna Striker Muafrika Mweusi anayetingisha ulaya zaidi ya walivyokua hao jamaa.
Mane anacheza golf
Eto'o wa Inter alikuwa mpaka anakaba
Mane huwezi kumfananisha na Etoo Ebooo
Drogba amecheza ligi ngumu tofauti na etoo kwaiyo kigezo cha magoli sio sahihi
Drogba amecheza ligi ngumu tofauti na etoo kwaiyo kigezo cha magoli sio sahihi
Zama zimebadilika sana, wakati ule ilikuwa Africa Cup of Nations imejaa A listed players wa Ligi kubwa za Ulaya.
Unakuta 1[SUP]st [/SUP]eleven ya mataifa kama Nigeria, Senegal, Ivory Coast, Cameroun, Mali (kwa mwaka walioandaa mashindano), Ghana etc yamejaa miamba inayotikisa huko Ulaya.
Leo hii wachezaji wa Africa unawatafuta kwa tochi, sasa kama Africa tumefika mara 2 tu robo fainali kipindi cha hao nguli, tusahau tena hiyo nafasi.
Pia soka la kulipwa alianzia Real Madrid kisha alipita Espanyol na Real Mallorca kabla ya kununuliwa na Barcelona.Kwani Eto'o hakucheza Uingereza Mkuu? Kwa faida yako, amecheza Chelsea 2013-2014; Everton 2014-2015; Inter Milan 2009-2011, Barcelona 2004-2009 na timu nyingi nyingine