Tumalize Utata: Pepsi na Coca-cola ipi soda pendwa?

Mpango mzima huo hapo huniambii kitu upate ya baridii
Screenshot_20230112-165401_Instagram.jpg
 
Diabetes in the making.

Kudindisha mtapasikia mitandaoni.
Mkuu hii ni kweli kabisa. Tatizo kubwa la kudindisha ni diabetes 2. Na wanadai ni ngumu kuireverse erection hata ukijaribu kucontrol blood sugar. Kwasababu diabetes inaharibu exsisting blood cells na nerves damage.

Mji flani huko mexico imewahathiri sana wanaume kudindisha kwa kupata diabetes 2 kwa unywaji wa hovyo na wa coca-cola na kupindukia.
 
Pepsi ya baridi nadhani ni soda namba moja duniani! Uipate imetoka kwa friji ina ule mvuke wa barafu!

Acha tu yaani....
Screenshot_20230112_165650_Chrome.jpg
 
Hizo soda zinanyweka kikanda coca cola wameteka zaidi masaki,msasani,kawe,mbezi beach,tegeta, osterbay,mpka posta.
Pepsi wapo zaidi mbagala,gongo la m boto,temeke,k/koo,vingunguti,buguruni .
Kwa mikoani coca cola ameteka zaidi soko
 
cocacola orginally contain cocaine,naona bora hii yenye cocaine,napenda sana maji na wine,na juice homemade otherwise iwe undernormal circumstance ndo nitumie hizi industrial products
 
Hizo soda zinanyweka kikanda coca cola wameteka zaidi masaki,msasani,kawe,mbezi beach,tegeta, osterbay,mpka posta.
Pepsi wapo zaidi mbagala,gongo la m boto,temeke,k/koo,vingunguti,buguruni .
Kwa mikoani coca cola ameteka zaidi soko
Vipi hii kitu imeteka wapi🍺🥃🥃🥛🤔
 
Mkuu hii ni kweli kabisa. Tatizo kubwa la kudindisha ni diabetes 2. Na wanadai ni ngumu kuireverse erection hata ukijaribu kucontrol blood sugar. Kwasababu diabetes inaharibu exsisting blood cells na nerves damage.

Mji flani huko mexico imewahathiri sana wanaume kudindisha kwa kupata diabetes 2 kwa unywaji wa hovyo na wa coca-cola na kupindukia.
Wana JF nendeni huko, hivi mnajua pisi za Spanish zilivyo kali?
 
Back
Top Bottom