For realNimekuchagua wewe ya Bob Ludala.
Hii ngoma ni undisputed kwa hapa Tz.
Nimekuchagua wewe ya Bob Ludala.
Hii ngoma ni undisputed kwa hapa Tz.
Umenikumbusha barua ya daz nundazKamanda - Daz Nundaz
Tunasonga - Hashim Dogo
Rudia - Saigon
Waja - MB Dog
Asiwaze - Stamina
Alitoaga nyimbo mbili tatu nne hivi baadae haukuonekanagaHuyu jamaa sijui kafia wapi toka atoe hii[emoji91]sikusikia tena nyimbo yake nyingine