Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Kifo hakina hurumaNaona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.
Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo haichuji.
Zangu ni:
■Seya ya papii na nguza
■naksh naksh ya kiba
■she got a gwan ya ngwair
■kimya kimya ya jay mo
■mapenzi ni kitu gani ya mb dogg
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Umemeza playlist yangu mkuuNitoke vp - Bwana misosi
Nipe muda - Bizzman
Yanini malumbano/ Maisha ya bongo - 20%
Chochote utapata- kylin ft Noorah
Maneno nawafunzaMh temba
Usiniache - Chelea man
Chaguo langu - Chidibenz
Moyo wa subira - Linex
Nzela- Banana zoro ft B band
Cpwaa - six in the morning/ Problem
Afande sele - Darubini kali/ Dunia ina mambo/ Simba dume
Topband - Nilikataa
Omary omary - Majaliwa
OCG ft Juma nature - Aquelina
Nicheki- O ten
Nipe tano - Daz nundaz
Tmk wanaume family - Kazi ipo
Tmk wanaume halisi - Tatu bila
Kalapina - Mstari wa mbele
Nako 2 nako - Ndo zetu
Joh makini ft Nikki wa pili Niaje ni vp
Sajna - Iveta
J.I - Kidato kimoja
Mb dog - Latifa
K sal - Mkiwa
Daz baba ft Afande sele - Elimu dunia
Jebby ft Afande sele - Swahiba
T.I.D kiuno
Wakali kwanza - Natamani
Nyimbo imejaa mahaba mazito mnoNimekuchagua wewe ya Bob Ludala.
Hii ngoma ni undisputed kwa hapa Tz.
Kleptomax sio mbongo ni mkenya... Chameleon pia mgandaKleptomax-- Tuendelee ama tusiendelee
Jimwat --under18
dully sykes -- Nyambizi
Chameleon --Njokii
Q jay ft Josline-- Sifai
Mapenzi yanrun dunia alikibaNaona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.
Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo haichuji.
Zangu ni:
■Seya ya papii na nguza
■naksh naksh ya kiba
■she got a gwan ya ngwair
■kimya kimya ya jay mo
■mapenzi ni kitu gani ya mb dogg
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Napenda nipate lau nafasi ya KILWA JAZZNaona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.
Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo haichuji.
Zangu ni:
■Seya ya papii na nguza
■naksh naksh ya kiba
■she got a gwan ya ngwair
■kimya kimya ya jay mo
■mapenzi ni kitu gani ya mb dogg
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app