Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
Banza stone generalTAFUTA HIZI HUTOJUTA.
-Kama unataka demu -Jay moe.
-Sikiliza - Ngwea ft lady jay dee na Mwana FA.
-Uaminifu -Matonya.
-Elimu ya mjinga -Banza.
-Umri - Wanaume T.M.K
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Banza stone generalTAFUTA HIZI HUTOJUTA.
-Kama unataka demu -Jay moe.
-Sikiliza - Ngwea ft lady jay dee na Mwana FA.
-Uaminifu -Matonya.
-Elimu ya mjinga -Banza.
-Umri - Wanaume T.M.K
Wapi MB DogTop Ten
Starehe - Ferooz
Tamaa Mbaya - 20%
Bongo Dar - Prof Jay
Dar Stand Up - Chid Benz
Tabasamu - Mr Blue
Dar Mpaka Moro - Tmk Family
Rita - Marlaw
Anitha - Matonya
Awena - Kassim Mganga
Yalaiti & Mfalme- Mwanafa
yaonyesha we bado mtoto sana maana humjui hata bi fatma!1. Anitha Matonya
2. Mac Mugga Ali Kiba
3. Kamwambie Diamond
4. Silali Rich Mavoko
5. Sumu ya penzi Belle 9
1.Unataka nini ya JafariNaona Tanesco leo karibia nchi nzima wameamua kufanya yao hadi usiku huu. Najua simu zitakuwa zimebaki 8%.
Anyway, huwa kuna nyimbo chache za zamani ambazo zikipigwa hata leo unapata vibe ambayo haichuji.
Zangu ni:
■Seya ya papii na nguza
■naksh naksh ya kiba
■she got a gwan ya ngwair
■kimya kimya ya jay mo
■mapenzi ni kitu gani ya mb dogg
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Namba 5 ilikuwa ya moto sana hadi leo1. Anitha Matonya
2. Mac Mugga Ali Kiba
3. Kamwambie Diamond
4. Silali Rich Mavoko
5. Sumu ya penzi Belle 9
Kaka Naona ulikuwa unaisoma Mind yangu kama ilivyo.Nimekuchagua Wewe ya Bob Rudala hii ni zaidi ya timeless ni exceptional, undisputed, magnificent etc
Top Ten
Starehe - Ferooz
Tamaa Mbaya - 20%
Bongo Dar - Prof Jay
Dar Stand Up - Chid Benz
Tabasamu - Mr Blue
Dar Mpaka Moro - Tmk Family
Rita - Marlaw
Anitha - Matonya
Awena - Kassim Mganga
Yalaiti & Mfalme- Mwanafa
Bonus
Tuma - Best Naso
Ridhiwani - Izzo Bizness
1. Kaza Moyo- Ottu Jazz BandKilwa Jazz - Nipate Lau Nafasi
Mbaraka Mwinshehe - Shida
Mbaraka Mwinshehe - Mtaa wa Saba
Jamuhuri Jazz - Shingo ya Upanga
Marijani Rajabu - Zuwena
Remmy Ongala - Kifo
Aliiga wimbo wa I believe in you wa Joe ThomasNimekuchagua wewe ya Bob Ludala.
Hii ngoma ni undisputed kwa hapa Tz.
Dodoma by Super Matimila, mtunzi na msimbasi NI Cosmos Chidumule.1. Rangi ya Chungwa by Serengeti Band.
2. Dodoma ya Watanzania by Remmy Mtoro Ongala.
3. Kamanda by DAZ NUNDAZ