Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

mwallu

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
6,787
Reaction score
4,210
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani

mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli

msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
 
Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
 
hapo kwenye mazoezi ndo shida ipo....halafu huo wanga,napenda sana kula ugali,wali,uji wa ulezi...nimepunguza kula chips lakini waap
asante kwa ushauri
 
asante na me hapo pamenigusa ila naweza endelea kula vtu vyasukuari kama chocolate na biscut
 
Last edited by a moderator:
mazoezi yamenishinda NGULI
Ukianza mazoezi ya tumbo kwa sasa litageuka msuli halitapungua wala kuongezeka litakuwa gumu kama gunia la mchanga.
 
Last edited by a moderator:
Kam zis wei..i have the perfect solution for you mtawa!!!:A S 39:
 
mwallu mazoezi ni muhimu dear.pia kuwa unakunywa maji ya uvuguvugu

ukiweza changanya asali .usiku usile ukila kula matunda au mbogamboga.......

Diet muhim pia....machips fat na starch sio vyakula vizuri
 
Last edited by a moderator:
mi mazoezi yamenishinda..ndio maana nahitaji tu aina ya vyakula ninavyotakiwa kula
maji ya uvuguvugu nakunywa..
mwallu mazoezi ni muhimu dear.pia kuwa unakunywa maji ya uvuguvugu

ukiweza changanya asali .usiku usile ukila kula matunda au mbogamboga.......

Diet muhim pia....machips fat na starch sio vyakula vizuri
 
Kukimbia ndio solution mkuu, kimbia atleast mara4 kwa week and kula kwa format hii 3-1-2-1 yani siku tatu unakula according to diet then moja unajiachia kidogo hapo unakula chips na soda kidogo then 2 unafuata diet moja inayofuata unajiachia kidogo. Unajiachia kidogo sio sana
 
Best solution ya kupungua tumbo na mwili wote bila side effects ni mazoezi tu tena zoezi la kukimbia basi cause lita increase rate ya metabolism
 

Alichokuambia NGULI ndicho cha kufanya; ukipunguza carbs (kifupi cha carbohydrates) mwili utaunguza mafuta yaliyopo tumboni ili kupata nishati ya kuendesha mwili na hivyo tumbo litapungua with time. Asubuhi unakula kiasi kwakuwa mchana kutwa chakula kitasagwa ila epuka wanga sana, usiku usile kabisa zaidi ya mboga za majani na matunda ambavyo havina sana carbs kwa kuwa hautaunguza sana. Kuhusu mazoezi si mtaalamu ila again ushauri wa Nguli makes a lot of sense.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…