Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
asante na me hapo pamenigusa ila naweza endelea kula vtu vyasukuari kama chocolate na biscutKwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
dah wa kwetu pole saaana ngoja wataaalam tuwasubiri waje
mazoezi yamenishinda NGULI
mwallu mazoezi ni muhimu dear.pia kuwa unakunywa maji ya uvuguvugu
ukiweza changanya asali .usiku usile ukila kula matunda au mbogamboga.......
Diet muhim pia....machips fat na starch sio vyakula vizuri
perfect?
kweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote