Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
mi mazoezi yamenishinda..ndio maana nahitaji tu aina ya vyakula ninavyotakiwa kula
maji ya uvuguvugu nakunywa..
kuna mama mmoja alikuwa na tumbo na weigh balaa.....kutoka 104 kilo
sa hivi ana 84.ni mtu wa mazoezi yeye hali wali wala ugali.akila ni siku moja moja
ndizi za kuiva nazo hali.....asubuhi anapiga glass ya maji vuguvugu 4.chai hanywi akinywa haina sukari kihivo
yeye anakula matunda sana sana na mboga mboga....chips,vyakula vya kukaangwa mafuta mengi nazo sio poa
ana DIET yake nimemwomba kuna shoga angu nae anasumbuliwa na tumbo + uzito akinipa nitakupa