Rafiki pole sana hebu fuata ushauri wa mdau hapo juu huenda utasaidia. Nakumbuka huwa wanasema na vipolo husababisha tumbo kuwa kubwa sijui kama kuna ukweli wowote ngoja wataalamu waje.kweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote
kufunga mkanda ukiufungua si ndo tumbo lina relax ?..
mwallu wacha na mimi nipate maujuzi hapa coz sina hata ninalojuakweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote
Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani
mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli
msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
kweli..ngoja niwaite wengine waje watoe uzoefu Kaizer Heaven on Earth DEMBA MziziMkavu Rich woman miss strong ladyfurahia Ablessed Asprin Judgement Mentor Sungura2030 Chocs Arushaone kiwatengu shansarie Lady doctor kwa ushauri wa kitabibu na wengine woote
kuna mama mmoja alikuwa na tumbo na weigh balaa.....kutoka 104 kilo
sa hivi ana 84.ni mtu wa mazoezi yeye hali wali wala ugali.akila ni siku moja moja
ndizi za kuiva nazo hali.....asubuhi anapiga glass ya maji vuguvugu 4.chai hanywi akinywa haina sukari kihivo
yeye anakula matunda sana sana na mboga mboga....chips,vyakula vya kukaangwa mafuta mengi nazo sio poa
ana DIET yake nimemwomba kuna shoga angu nae anasumbuliwa na tumbo + uzito akinipa nitakupa
mwallu mwallu mwallu...aliyekuambia una tumbo kubwa nani? Je, umekula tunda la mti wa katikati ulilokatazwa usile?Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani
mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli
msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
Heaven on earth ukipewa nitumie na mie nitakupendaje kiwatengu asijeniacha bure
Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
Heaven on earth ukipewa nitumie na mie nitakupendaje kiwatengu asijeniacha bure
Itakua mimba hiyo!Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani
mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli
msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine
mandieta sema hakyamunguItakua mimba hiyo!
Heaven on Earth mi sijasema ivo ujue...unataka mwallu asije parokiani?
Haki ya mungu tena!mandieta sema hakyamungu
Heaven on Earth mi sijasema ivo ujue...unataka mwallu asije parokiani?
Haki ya mungu tena!
halafu seriously shansarie usiku wa kuamkia leo nimekuota sema sikumbuki hasa ilikuwa nini ila sio ndoto mbaya
Ndoto mbaya nimemuota Kapuya kalazwa chini kama Yesu msalabani, anasulubiwa vibaya mno na mwalimu wangu wa zamani:shocked::shocked: