usijali my dia jumamos huwa nameet nae kwenye mazoez akinipa nitakujuza mwaya
Hahaha asikusikie mwenye mali shauri yako.
Kapuya sujui kama anapata usinguzi kwakweli bamuhurumia sana amekuwa celebrate bila kupenda
mi ndo paroko wa mwallu, hebu muulize.......karibu sana wmambie akulete ijumaa
mi ata sielewi why nimekuota aisee....najisikia vibaya kweli.....damn ndoto
Rafiki pole sana hebu fuata ushauri wa mdau hapo juu huenda utasaidia. Nakumbuka huwa wanasema na vipolo husababisha tumbo kuwa kubwa sijui kama kuna ukweli wowote ngoja wataalamu waje.
Duuh,mi nazuia kitambi kisije,nifanye nini.maana kama kutembea kwa miguu na tembea sana,maji nakunywa sana,pombe sinywi.mchana siliii kabisa,nakunywa maji tu,ila usiku nakula
Asante kwa kunileta huku mi mwenyewe nina hako kaugonjwa kako kila kukicha naperuz google jinsi yakuliondoa na appetite ndo iko juu.
halafu seriously shansarie usiku wa kuamkia leo nimekuota sema sikumbuki hasa ilikuwa nini ila sio ndoto mbaya
Ndoto mbaya nimemuota Kapuya kalazwa chini kama Yesu msalabani, anasulubiwa vibaya mno na mwalimu wangu wa zamani:shocked::shocked:
ni rahisi tu msiwe mnakuja jukwaa letu la JF Chef mbona litaishi na uwe unashinda siasa lazima mkonde..
Naacha kula usiku,nitakula supu ya mboga za majanitumeambiwa usiku hakuna kula...ni full vegetables na fruits..ngumu lakini inabidi