Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

Tumbo kubwa..nilipunguze vipi? kwa njia ya vyakula lakini

Nile vyakula gani ili tumbo langu lipungue yaani lirudie hali ya u flat kama zamani

mazoezi huwa najaribu lakini nashindwa kuendelea nayo kiukweli

msaada juu ya hili maana linanikera sana wakati mwingine

Pole mdada, ila nahisi wakati mwingine ni maumbile tu. Mie ugali nafukia, wali yaan kila korokocho ila ndo kwanza niko kama moja (1)....
 
hapana dia..ndo maana nauliza nile nini na nile vipi


Hili tatizo la tumbo/kitambi hilii

Kunywa maji mengi ya kutosha & matunda kwa wingi {kutokana na msimu wa matunda}

Fanya zoezi la kukata tumbo

Usipende kulakula hovyo, fanya diet
 
Kwanza pongezi kwa kugundua kuwa una ugonjwa. Tumbo ni ugonjwa na lina sababisha uzee kwa kasi ya ajabu. Punguza wanga asubuhi kula ushibe mchana kula kidogo na jioni usile kabisa kula matunda tu na ulale. Mazoezi fanya mazoezi ya kukimbia au kutembea kwa miezi 6 tena asubuhi tu. Likishapungua ndip uanze mazoezi ya tumbo.
Hii inaweza kuwa applicable kwa aliyejifungua pia?
Nimeipenda mno and will work on it.
Thank u sooo much
 
naweza ipata hiyo lishe health?

Kwa kuzingatia umuhimu wa lishe asilia mtu anaweza kumaliza tatizo lolote la kiafya na kuweza kuishi kwa amani na kwa kujiamini. Kuhusu kupungua uzito ni jambo muhimu sana la kuweza kujiweka sawa na kuweza kuepukana na madhara mengine yasababishwayo na uzito/unene. Kiafya inatakiwa kimo cha mwili kiendane na uzito wake. Kama mtu akiona afya yake haipo hivyo basi hana budi kufanya awezavyo ili kurekebisha hiyo hali ili kurudi katika afya yake njema.

Fuatilia formula hii hapa kwa wewe ambaye uliye makini
Body Mass Index(BMI)=Weight (kg) / (Height (m) x Height (m))
Underweight: BMI < 18.5
Healthy weight: BMI 18.5-24.9
Overweight: BMI: 25-29.9
Obese: BMI 30-39.9
Severely obese: BMI >40

Fuatilia lishe maalumu kwa ajili ya kupunguza uzito/unene kadiri utakavyopenda kuendana na matakwa yako.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY


Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

GOLDEN SIX


Golden Six imetokana na mimea sita(six golden herbs) inamaanisha mimea sita yenye thatmani.
Golden six inahusika na sehemu zifuatazo;

  1. Mishipa ya hisia
  2. Figo
  3. Kuinua kinga ya mwili na kinga ikiwa nyingi kwenye mwili inasaidia uroto kwenye mifupa(born marro), ndiyo inatengeneza cell za mwili.
  4. Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee.
Utendaji kazi wa Golden six;

  • Golden six ina kinga kubwa kwenye mwili, ukiitumia vizuri inakwenda kusawazisha kinga kwenye mwili.
  • Inarutubisha uroto kwenye mifupa nah ii hutengeneza chembechembe nyeupe za damu kwa haraka.
  • Golden six inasafisha figo kwa kuipa nguvu ya kusafisha damu, kuondoa sumu mwilini kama vile uric acid.
Uric acid ikiwa kwenye viungo husababisha kuumwa kwa viungo.

  • Kuhisi uchovu
  • Kutokwa na jasho sana
  • Kuumwa sehemu ya chini ya mgongo na pia kukosa usingizi.
Inapunguza kasi ya kuzeeka kwa kuondoa madhara ya uzee mfano;

  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kutoona vizuri
  • Misuli kukosa nguvu
  • Chembechembe za mwili kufa kwa haraka
  • Inajenga mishipa ya hisia na kuondoa matatizo ya kupooza
  • Kwa waliopooza na kuathirika kwenye mdomo (mdomo kupinda) katika mazungumzo inawasaidia na kurekebisha mazungumzo yao.

FAIDA ZA GOLDEN SIX


  • Stroke(kupooza)
  • Kukosa usingizi
  • Kupoteza kumbukumbu
  • Kuumwa na viungo
  • Kusafisha damu
  • Husaidia presha ya kupanda inayosababisha mishipa kubana hii hutokana na aina Fulani ya Adrino gland ambayo hutoa kemikali, husababisha kubana kwa mishipa ya damu.
  • Matatizo ya wanawake na ukomo wa wanawake

Yeyote anayehitaji msaada zaidi labda kutaka kuuliza au ushauri anaweza kunipigia kupitia namba 0776491294 pia anaweza kuniandikia ujumbe kupitia ishealthy@hotmail.com

Gharama za MAGILIM ni Tsh. 62500/-, CORDY ROYAL JELLY 68000/- na GOLDEN SIX 38000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 172
  • CORDY ROYAL JELLY.jpg
    CORDY ROYAL JELLY.jpg
    15.7 KB · Views: 153
  • GOLDEN SIX.jpg
    GOLDEN SIX.jpg
    14 KB · Views: 149
asante sana health
naamini elimu ul;oitoa itatusaidia wengi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
asante MziziMkavu..lakini mie sina tatizo na uzito wangu..nina tatzo na tumbo langu
na ningependelea njia ya mpangilio mzuri wa vyakula,hata kama itachukua muda mrefu kufanya kazi lakini nina uhakika wa usalama..hizo dawa nahisi zitakua na side effects zake
Dawa zangu ninazozitangazia hapa ni dawa za Mitishamb hazina Madhara kwa binadamu No Side effects ondosha wasiwasi bibie. Kuhusu vyakula upunguze kula vyakula vya mafuta na pia ufanye mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi na jioni tumbo lako litapunguwa na kuondoka kabisa kama hutaki kutumia dawa zangu. Dawa zangu ni za Mitishamba zilizotengenezwa kwa utaalam wa kisasa Vidonge (Capsule) Hazina Madhara kwa binadamu zimekaguliwa na Mkaguzi mkuu wa madawa huku nilipo .Dawa zangu zinatoka nje ya nchi sio hapo Tanzania ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya barua ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com


kapsul.jpg


FitForm + Plus Dawa ya kupunguza unene,mwili, uzito na mafuta mwilini kitambi.
 
Ingia facebook chat na dada mmoja mtu wa PAPUA aitwa Caroline Hosea-Tinuet yuko Australia. Free consultation atakushauri vzr tu
 
shukrani MziziMkavu
tutawasiliana
Dawa zangu ninazozitangazia hapa ni dawa za Mitishamb hazina Madhara kwa binadamu No Side effects ondosha wasiwasi bibie. Kuhusu vyakula upunguze kula vyakula vya mafuta na pia ufanye mazoezi ya kukimbia kila siku asubuhi na jioni tumbo lako litapunguwa na kuondoka kabisa kama hutaki kutumia dawa zangu. Dawa zangu ni za Mitishamba zilizotengenezwa kwa utaalam wa kisasa Vidonge (Capsule) Hazina Madhara kwa binadamu zimekaguliwa na Mkaguzi mkuu wa madawa huku nilipo .Dawa zangu zinatoka nje ya nchi sio hapo Tanzania ukihitaji wasiliana na mimi kwa njia ya barua ya pepe Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com


kapsul.jpg


FitForm + Plus Dawa ya kupunguza unene,mwili, uzito na mafuta mwilini kitambi.
 
Last edited by a moderator:
shukrani MziziMkavu
tutawasiliana
Hakuna tabu bibie


KITAMBI: Chanzo chake na jinsi ya kukiondoa

Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na wakati mwingi kuning'inia isivyo kawaida. Ni ugonjwa kama magonjwa mengineyo na huweza kuwakumba watoto, vijana, watu wazima na hata wazee wa jinsia zote!



Kwa baadhi ya watu, hukichukulia kitambi kama ishara ya ufanisi au mafanikio kwa mhusika katika nyanda nyingi za kijamii. Ni imani ambayo kwa namna moja ama nyingine inachekesha kwakuwa kilibetumbo ni ugonjwa kama magonjwa mengine.


Mwili wa binadamu una seli bilioni 50-200 za mafuta zilizogawanyika kwenye mwili wa binadamu. Kwa wanawake zipo sana maeneo ya matiti, nyonga, kiunoni na kwenye makalio. Kwa wanaume seli zipo sana kwenye kifua, tumboni na kwenye makalio.


Mafuta ya tumbo yanayofanya kitambi hukusanywa kwa njia kuu mbili, ya kwanza ni mafuta kutoka kwenye tishu zilizo chini ya ngozi na ya pili ni kutoka kwenye ogani za ndani kama moyo, kongosho n.k


SABABU ZA KUPATA KITAMBI:
Sababu kubwa ya kitambi ni kukosekana ulingano wa nguvu(kalori), mtu kula vyakula vinavyotia nguvu sana kuliko jinsi anavyoweza kutumia na kutoa kama taka mwili.


Vyakula vinavyochangia uongezekaji wa kilibetumbo ni pamoja na nyama (iwe ni ya kuchemsha, kukaanga au kuchoma), mafuta ya kupikia, (hasa yale yatokanayo na bidhaa za wanyama, kama siagi, na jibini), viazi ya kukaanga (chips), pizza, vyakula vyenye wanga mwingi kama


ugali wa mahindi, mihogo, wali, mikate myeupe na pia viazi vya mviringo. Ndizi pia huchangia!
Sababu nyingine ni kuwa na chembe za urithi za unene kutoka kwa wazazi, pia kuna sababu za kimazingira. Ila pia kuna sababu nyingine zisizojulikana.


JINSI YA KUJUA KAMA UNA KITAMBI:
Kitambi kinaweza kuonekana kwa kirahisi kwa macho. Ila kujua ni kwa kiwango gani kitambi chako kipo inabidi kufanya vipimo vya kiuno(waist) na nyonga (hips). Mzingo wa kiuno ukiwa >102 cm au 40 in kwa wanaume na >88 cm au 35 in kwa wanawake, na uwiano wa kiuno na


hips(Waist-Hip Ratio) ikiwa >0.9 kwa wanaume na >0.85 kwa wanawake.
BMI ya 30 au zaidi inaashiria 'Obese' uzito kuzidi kiasi. Kuwa na mzingo uliozidi kawaida ni


kiashiria hatari cha matatizo ya kimetaboliki, kuliko hata cha BMI.
Kipimo kingine cha kitambi ambacho kimeonyesha uwezo zaidi kuliko BMI katika kutabiri


uwezekano mkubwa wa magonjwa ya moyo ni Index Of Central Obesity(Waist-To-Height Ratio-WHtR) ambapo uwiano ukiwa sawa na 0.5 au zaidi, hii ikimaanisha mzingo wa kiuno angalau ni nusu ya kimo cha mtu.
Kipimo kingine ni Body Volume Index, kinachopima kitambi kwa kupima umbo la mtu na mgawanyo wa uzito wake.


NJIA ZA KUONDOA KITAMBI:

  • Mlo mzuri kiafya ndio ufunguo wa kupunguza uzito na kutoa kitambi. Kuacha kula vyakula vinavyotia nguvu sana, vyenye mafuta na sukari nyingi ndio msingi wa kuondoa kitambi. Hii husaidia mwili kutumia mafuta yaliyo mwilini kutengeneza nguvu hivyo kupunguza mafuta na kuondoa kitambi. Aidha, punguza matumizi ya vinywaji vyenye sukari kwa wingi na tumia samaki badala ya nyama.
  • Kufanya mazoezi ya mwili kila siku kwa dakika 30-60 walau siku 3 ndani ya juma (week) moja (Mfano kuendesha baiskeli na kukimbia).
  • Dawa ni muhimu tu kama una matatizo mengine kama kisukari, mfano dawa fulani za kisukari zinaweza kukusaidia kupunguza mafuta yanayozunguka ogani muhimu kama ini na kongosho.
  • Kufanya upasuaji mkubwa ili kupunguza mafuta, hii hufanyika kwenye nchi zenye teknolojia kubwa na hii hushauriwa endapo mafuta yaliyomwilini yamesababishwa na magonjwa yameshindwa kupungua kwa njia ya rahisi ya kawaida.
Imedhihirika pia kudhibiti 'Stress' inaweza kusaidia kwenye kupambana na kitambi.

Ukishindwa kufuata ushauri hu nione mimi kwa njia ya Email nikupe Dawa zangu zipunguze na kukiondowa hicho kitambi cha tumbo lako bibie.






 
Back
Top Bottom