Frontsmigo
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 203
Jibu sahihi hili hapa,fanyia kazi mkuu.Nenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu sahihi hili hapa,fanyia kazi mkuu.Nenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane
Zingatia ulaji, yaweza kuwa.....Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Punguza kula viporo maana vinasababisha Gesi
Mkuu; kama hakuna maumivu yoyote au kuharisha:Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Usipende kula kiporo kilichopoaMara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Binafsi hua naamka saa tisa usiku kunywa maji hivi inaweza kua alarm ya tatizo lolote la kiafya?Hii kitu nakumbuka iliwahi nitesa sana nikiwa collee.
The easiest way ya kuitibu ni kunywa a glass or 2 of water right after kuamka asubuh.
Kuna science hapo kati ya acid inayotengenezwa mdomoni while you sleep kukwenda kuua ma bakteria tumbon if you drink water after you wake up.
Haijawahi nisumbua tena
Naaah.. i dnt think so.Binafsi hua naamka saa tisa usiku kunywa maji hivi inaweza kua alarm ya tatizo lolote la kiafya?
Hapo nimekupataNaaah.. i dnt think so.
The body gets dehydrated while you sleep coz metabolism inaendelea
sawaNenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane
Huumwi, ni njaa tu hiyo mkuu!Mara nyingi tumbo langu huunguruma kama vile mtu anajamba,wakati mwingine nipo na watu basi ninaibu,hii inasababishwa na nini?
Sasa atampangia daktari vitu vya kupima?Nenda hospitali pima H. pylori , amoeba , au huenda una constipation ukikosa kimojawapo nitukane
Ndio madaktari hawajui vitu vingi Sana. Ndiposa wakati unatafuta suluhisho la kiafya nakushauri onana na madaktari katika hospitali tofauti tofautiSasa atampangia daktari vitu vya kupima?
🤣🤣🤣🙌Punguza kula viporo maana vinasababisha Gesi