Hubble Telescope
JF-Expert Member
- Jan 30, 2025
- 426
- 527
Ndio wakati wake huu tuwe makini
Mpinga Kristo na utimizo kamili wa kumwabudu mpinga Kristo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpinga Kristo na utimizo kamili wa kumwabudu mpinga Kristo
Kwa Tz na nchi za kijamaa, chama kina nguvu kuliko serikali.Tofautisha Serikali na chama,
Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,
Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.
Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
KWELI KWA 100%Matapeli yanayofanana hutenda mambo yao pamoja mzee wa upako tapeli,mwamposa tapeli,kuhani musa kubwa la.matapeli,Christina shusho kahaba,Martha mwaipaja kahaba
Hao wote uliowataja maaskofu na waimbaji wote hao ni maagenti wa giza, sio ajabu...Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!
Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki
Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza
Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu
Amina
Wameona bado haitoshi wameanza kuchukuwa wanyamapori toka hifadhi ya Gombe kama vivutio kwenye mikutano yaoMungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!
Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki
Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza
Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu
Amina
Mkuu ulikua hujui? Hawa mchwa au viwavijeshi wanakula heka ya mahindi kwa dk5Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!
Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki
Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza
Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu
Amina
duh!Matapeli yanayofanana hutenda mambo yao pamoja mzee wa upako tapeli,mwamposa tapeli,kuhani musa kubwa la.matapeli,Christina shusho kahaba,Martha mwaipaja kahaba