Pre GE2025 Tumbo la CCM ni mfano wa nyangumi mkubwa, amemeza wasanii wote wa Dunia akaona haitoshi sasa ameachama mdomo kumeza waimbaji wa injili na aaskofu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tofautisha Serikali na chama,

Tenganisha maslahi ya Serikali na maslahi ya chama tawala,

Mwisho ujue KAZI ya walinzi wa Nchi na Serikali katika Ulimwengu wa Roho.

Abwene Mwasongwe ni mlinzi wa Nchi katika zamu yake, hao wengine uliowataja malizana nao.
Kwa Tz na nchi za kijamaa, chama kina nguvu kuliko serikali.
 
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!

Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki

Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza

Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu

Amina
Hao wote uliowataja maaskofu na waimbaji wote hao ni maagenti wa giza, sio ajabu...
 
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!

Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki

Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza

Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu

Amina
Wameona bado haitoshi wameanza kuchukuwa wanyamapori toka hifadhi ya Gombe kama vivutio kwenye mikutano yao
 
Mungu ni Alfa na Omega. Sijui ikiwa CCM ni lango la ufalme wa mbinguni wanaheri wanaoikimbilia! Ole wenu ikiwa CCM ni lango la kuzimu nisawa na kumwabudu mfalme Sanekarebu kwa kuogopa kuuawa!!

Nimemuona Ambwene Mwasongwe, Bella Kombo, Christina Shusho, Martha Mwaipaja, Askofu Anthony Lusekelo, Kuhani Musa, Boniface Mwamposa na maaskofu lukuki

Ni jambo jema ikiwa CCM imesimama kwa mkono wa Mungu lakini ole wenu ikiwa CCM ni lango la mkuu wa Giza

Mtaukumbuka ujumbe huu baada uchaguzi, Mungu atawararua vibaya sana na mkono wake hautakuwa na huruma juu yenu

Amina
Mkuu ulikua hujui? Hawa mchwa au viwavijeshi wanakula heka ya mahindi kwa dk5
 
Back
Top Bottom