M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 15,133 Reaction score 11,914 Sep 28, 2021 #41 bitimkongwe said: Anakopi notes kutoka kwa wenzake. Lakini siyo wote wanaumwa mpaka hawendi shule au chuo. Click to expand... Ni wazo zuri, lakini kiukweli ujifunzaji ni pale mwanafunzi anapokutana na mwalimu darasani.
bitimkongwe said: Anakopi notes kutoka kwa wenzake. Lakini siyo wote wanaumwa mpaka hawendi shule au chuo. Click to expand... Ni wazo zuri, lakini kiukweli ujifunzaji ni pale mwanafunzi anapokutana na mwalimu darasani.
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Sep 28, 2021 #42 sweettablet said: Ni wazo zuri, lakini kiukweli ujifunzaji ni pale mwanafunzi anapokutana na mwalimu darasani. Click to expand... Ni kweli lakini unapokuwa mwanafunzi huwezi kuwaza hivyo, kwa asilimia kubwa unamuogopa mwalimu
sweettablet said: Ni wazo zuri, lakini kiukweli ujifunzaji ni pale mwanafunzi anapokutana na mwalimu darasani. Click to expand... Ni kweli lakini unapokuwa mwanafunzi huwezi kuwaza hivyo, kwa asilimia kubwa unamuogopa mwalimu