Tumbo linajaa gesi wakati wa Baridi

Tumbo linajaa gesi wakati wa Baridi

Black7

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
367
Reaction score
116
Wana jf naomba kujuzwa juu ya hili. mimi huwa nikikaa mahali penye UPEPO, Au BARIDI likinipiga huwa tumbo linajaa gesi na kila kitu tumboni kinavurugika hadi nikienda chooni huwa naharisha. Huu ni ugonjwa gani ??
 
Maradhi yako kama ulivyosema yanatokana na upepo au baridi jaribu ukikaa sehemu za baridi au upepo uwe umejifunika na jichunguze je hata ukiwa umejifunika kwa nguo unapatwa na tumbo kujaa gesi? na uwe unakula punje 2 za kitunguu saumu unameza kwa maji ya uvuguvugu ili kuondowa gesi mbaya uliyonayo tumboni fanya hivyo asubuhi kabla ya kula kitu na wakati wa mchana na usiku kwa muda wa siku 3 kisha njoo uje unipe feedback uguwa pole.
 
Bt mimi hata nikiwa nimevaa sweta. Imenifanya nakuwa navaa sweta muda wote hata mchana, bt kukiwa tu na upepo gesi lazma iniingie
 
Je una mtoto wa umri gani tangu uzae mtoto wa mwisho
 
Mke wangu ana tatizo la kuumwa tumbo anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa.. je itakuwa ni tatizo gani na atumie dawa ipi??
 
Hujawahi kupata uchauzito ukaharibika!
 
Kwanza badilisha staili pindi mnapojaminiana kwanza usipende kumwinamisha na yeye asipende kukukalia ebu fanyeni tu sex ya kawaida,pili anatumia gani za majira?
 
Mke wangu ana tatizo la kuumwa tumbo anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa.. je itakuwa ni tatizo gani na atumie dawa ipi??
Tafute Tape upime Dick lako lina urefu wa Inch ngap??
Likizidi inch 8 itakuwa ndiyo Sababu na itabidi umpunguzie kwa kuingiza Kiwango kisichozidi inch 6 Coz Badala Ya to-and-fro Kwenye Vaginal Canal, wewe utakuwa Unagusa Mpaka Cervix ambayo ndiyo inayomletea maumivu.
Mkuu Usitafute Mchawi, bali ni wewe mwenyewe dozi unayotoa kubwa.
 
Back
Top Bottom