Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maradhi yako kama ulivyosema yanatokana na upepo au baridi jaribu ukikaa sehemu za baridi au upepo uwe umejifunika na jichunguze je hata ukiwa umejifunika kwa nguo unapatwa na tumbo kujaa gesi? na uwe unakula punje 2 za kitunguu saumu unameza kwa maji ya uvuguvugu ili kuondowa gesi mbaya uliyonayo tumboni fanya hivyo asubuhi kabla ya kula kitu na wakati wa mchana na usiku kwa muda wa siku 3 kisha njoo uje unipe feedback uguwa pole.Wana jf naomba kujuzwa juu ya hili. mimi huwa nikikaa mahali penye UPEPO, Au BARIDI likinipiga huwa tumbo linajaa gesi na kila kitu tumboni kinavurugika hadi nikienda chooni huwa naharisha. Huu ni ugonjwa gani ??
Bt mimi hata nikiwa nimevaa sweta. Imenifanya nakuwa navaa sweta muda wote hata mchana, bt kukiwa tu na upepo gesi lazma iniingieMaradhi yako kama ulivyosema yanatokana na upepo au baridi jaribu ukikaa sehemu za baridi au upepo uwe umejifunika na jichunguze je hata ukiwa umejifunika kwa nguo unapatwa na tumbo kujaa gesi? na uwe unakula punje 2 za kitunguu saumu unameza kwa maji ya uvuguvugu ili kuondowa gesi mbaya uliyonayo tumboni fanya hivyo asubuhi kabla ya kula kitu na wakati wa mchana na usiku kwa muda wa siku 3 kisha njoo uje unipe feedback uguwa pole.
Tafute Tape upime Dick lako lina urefu wa Inch ngap??Mke wangu ana tatizo la kuumwa tumbo anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa.. je itakuwa ni tatizo gani na atumie dawa ipi??
Fuata ushauri niliokupa kisha uje unipe feedback.Bt mimi hata nikiwa nimevaa sweta. Imenifanya nakuwa navaa sweta muda wote hata mchana, bt kukiwa tu na upepo gesi lazma iniingie
aende kumuona Daktari ampime kizazi chake kimekaa sawa?Mke wangu ana tatizo la kuumwa tumbo anapofika kileleni wakati wa tendo la ndoa.. je itakuwa ni tatizo gani na atumie dawa ipi??