Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Tumchague mwenyekiti wa chit chat Baba V ajiuzulu?

Hamna kitu... ni Excellent nanihii zimempanda sasa anataka apate "mupenzi" kinguvu ikiwemo hata kufanya mapinduzi... Nimempa CV ya mapinduzi yote hapa... nadhani ameisoma namba na kwa bahati nzuri nimeona kama wanaenda sawa na somebody Faith. I hope akipata ile kitu zikamshuka atatulia...
Kwahiyo unataka kusema sina mpenzi?@Baba V waza vizuri kabla ya kucomment
 
Kauka kamanda!

Afu andika jina langu kama lilivyo hapo juu yaani Arushaone na siyo Arusha one yenye space.
hahahaha sasa mbona hata space inakubali kamanda,btw nimekusoma
 
Back
Top Bottom