Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Heshima sana wanajamvi.
CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House?
3. Wanasheria?
4. Dr Slaa?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.