Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha matusi toa mchango.Kuendesha Chama sio lelemama.Wewe msenge unayemkandia lisu pale kwenye list ndio umejiweka namba moja kama vile unakatwa na wahuni.
MwambaksaHeshima sana wanajamvi.
CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Sijahitajiii Mkuuu,ningetakaaa wala singesumbuka kutuhumu watuuu,na ningeshinda asubuhii mapemaVipi tukakupa wewe je unafaaa haufai?
Mimi nitamchangia Mh. Wenje sh. 100,000/=Heshima sana wanajamvi.
CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Wenje kashatoa sio omba omba.Mchangie kamanda anayetaka kuongoza Chama kwa bla bla.Inasemekana hata Lema kakimbia mchango wa milioni 30.Mimi nitamchangia Mh. Wenje sh. 100,000/=
900 itapendezaKabla ya yote Clubhouse wanatoa ngapi??
Sasa ndio mtajifunza kuwa ,Umaskini ni laana na uongozi ,inatakiwa mfukoni kuwe kimetuliaHeshima sana wanajamvi.
CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Ukiwa na akili timamu suala la kuchangia uchaguzi linahitaji umakini!!Heshima sana wanajamvi.
CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Hii nyamagisisi ndio mnaikabidhi full authority ya chama!Heshima sana wanajamvi.