Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Wanamdanganya Lisu kwenye mitandao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wao wenyewe wamepewa gari la serikali... li Mwabukusi linanenepeana tu kama nguruweTLS wakisikia michango watakimbia hata humu Jf🤣
Kavunja katiba ya chamaEbu fikiria bunge la 11 Lissu hajawahi kutoa hata ndururu kama mchango kwa chama chake.
Kuongezea michango ya wabunge ipo ndani ya katiba ya chama.
Wanapiga mdomo tu na huyo Lissu wao mpaka anatoa tui la nazi mdomoni mfukoni hana kitu....Vyanzo vya mapato Chadema ni vipi?Na matumizi ya kuiendesha yanalingana?CAG huwa anakagua mapato na matumizi ya Chama na Chadema haijawahi kupata hati chafu.
Hizo pesa za kuchangia Mkutano Mkuu ziliazimiwa na Kamati Kuu akiwepo Lissu.Unataka kutuaminisha kwamba Kamati Kuu yote haijui mapato na matumizi mpaka iazimie wachange?
Yoy can do better than that.Come on.
Chadema siyo kampuni ya kibiashara ni chama cha siasa. Kinachopatikana kinatumika kinakwisha, kwa hoja yako ungeuliza walipata ruzuku kiasi gani na, wametumia kiasi gani, kwenye nini na nini, na wamebaki na kiasi gani.Chama hakina vipaumbele vyake muhimu?
Kama wanapata ruzuku walishindwa vipi kuweka akiba ya kufanyia uchaguzi ?
Wajumbe wa mkutano mkuu wanahitaji nauli , wanahitaji kula , n.k
Na uchaguzi huwa unafanyika kila baada ya miaka 05.
Mbowe inatosha sasa
Kuna kila sababu ya kufikiria hili jambo pia .
Hizi akili za kina Ngongo ni kama za kina Wenje na Freeman Mbowe mwenyewe...Toa mchango Kamanda wetu anakwenda kuhaibika sana.
Fikiria wajumbe wakipewa fursa ya kuuliza maswali.
Mjumbe;Mh Lissu tunafahamu wajumbe wote wa Kamati Kuu walipewa majukumu ya kuchangia mkutano huu.Tunaomba kufahamu wewe kama Mgombea nafasi ya Mwenyekiti umechangia shilingi ngapi ?.
Kwahiyo lile jengo la Makao Makuu Mikocheni lilinunuliwa kwa fedha za Babu yako.Hizi akili za kina Ngongo ni kama za kina Wenje na Freeman Mbowe mwenyewe...
Ni kuwa zilishahaga chachuliwa na rushwa za Abdul na Mama Abdul...
Yaani uchangie pesa ukampe Freeman Mbowe na genge lake wale...?
Chama kina ruzuku ya takribani 1.7B kwa mwaka. Kinashindwaje kuweka bajeti ya TZS 500,000,000 tu ya mkutano mkuu tena unaoshughulikia ishi nyeti ya uchaguzi unaofanyika mara Moja baada ya miaka mitano..?
Pesa za chama ziko wapi? Tuache ujinga huu wa kutowajibika...
Tuna karibu 150,000,000 tulizochanga kununua gari la Mwenyekiti wetu...
Tungeweza kuzi - divert kiasi kidogo kuchangia huko iwapo kungekuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha za chama kwa kila mwanachama...
As for now, acheni kutikisa mzinga wa nyuki wakati wa jua Kali nyie kina Ngongo otherwise zotawararua mpaka sura zenu hizo zotakuwa kichekesho....
Freeman Mbowe na genge lake watoe pesa walizoiba miaka yote hii kabla hatujaanza kushusha makombora ya atomic. Msifikiri Tundu Lissu ni mjinga na mpumbavu kama ambavyo mlivyo nyie...
Aulizwe MboweRuzuku ipo wapi
,,,250mln mbowe katoa wap, zaidi ya zuzukuHeshima sana wanajamvi.
CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House?
3. Wanasheria?
4. Dr Slaa?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Huu sio aina ya Uzi wanaoiopenda!TeamLISSU waione
.....za babu na bibi yako Mama AbdulKwahiyo lile jengo la Makao Makuu Mikocheni lilinunuliwa kwa fedha za Babu yako.
Chama hakina vipaumbele vyake muhimu?
Kama wanapata ruzuku walishindwa vipi kuweka akiba ya kufanyia uchaguzi ?
Wajumbe wa mkutano mkuu wanahitaji nauli , wanahitaji kula , n.k
Na uchaguzi huwa unafanyika kila baada ya miaka 05.
Mbowe inatosha sasa
Kuna kila sababu ya kufikiria hili jambo pia .
Mshaanza kumpigia mbowe pande. Saccos yake ana hamisha tu 😂😂😂Heshima sana wanajamvi.
CHADEMA wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.
Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.
Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.
Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.
Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.
Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.
1. DR Ngongo 150,000
2. Club House?
3. Wanasheria?
4. Dr Slaa?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Kabisa mkuu haingii akilini hata kidgo.Y
Chama akina payroll zaidi ya watu 20, ruzuku billions of money Leo after 5 years eti akina pesa za uchaguzi akili ku mkichwa ndo mana Lissu humconvince kuchanga 250 hizo pesa CDM Mbowe aache ujanja ujanja unachukua mfuko wa kulia unatolea mfuko wa kushoto
Tatizo watanzania wengi uelewa mdogo, Chama ni Taasisi, na wenye chama ni wanachama ,Kosa la Chadema ni kuanzia muanzilishi Mtei alaitakiwa kujenga chama ki Taasisi sio kikanda wala kikabila, na hapo ndipo TAA to TANu to CCM ilipo washindia wapinzani wawo wamejenga CCM kama Taasisi imara sio chama Cha mtu mtu Fulani na masilihi ya watu bila Tundu lissu CDM ni TLP ,NCCR mageuzi ijayo ni muda wakuketa chama kuwa Taasisi inayomilikiwa na wanachama sio Mtemi MboweMshaanza kumpigia mbowe pande. Saccos yake ana hamisha tu 😂😂😂
Mwamba hataki challenge anataka kutoa amri tu sasa kizazi hiki atapata tabu mbele ya LISSU, HECHE LEMA nkTatizo watanzania wengi uelewa mdogo, Chama ni Taasisi, na wenye chama ni wanachama ,Kosa la Chadema ni kuanzia muanzilishi Mtei alaitakiwa kujenga chama ki Taasisi sio kikanda wa kikabila, na hapo ndipo TAA to TANu to CCM ilipo washindia wapinzani wawo wamejenga CCM kama Taasisi imara sio chama Cha mtu mtu Fulani na masilihi ya watu bila Tundu lissu CDM ni TLP ,NCCR mageuzi ijayo ni muda wakuketa chama kuwa Taasisi inayomilikiwa na wanachama sio Mtemi Mbowe
Utemi mwingi CDM, mwamba achomoke tu watu wamemchokaMwamba hataki challenge anataka kutoa amri tu sasa kizazi hiki atapata tabu mbele ya LISSU, HECHE LEMA nk
Hahah anaweza tumia mbinu ovuUtemi mwingi CDM, mwamba achomoke tu watu wamemchoka