Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Yani hii tume alichokifanya ni kubandika tu majina anayoyajuwa yeye ya kumlinda zaidi, lakini si kuwasaidia wananchi.
Yani tume hakuna hata Human Rights Organization, wadau wengine kama Vyombo vya Habari, halafu unasema hiyo ni tume. Yani Samia kashatuona sisi watanzania ni kama bibi zake wa huko Pemba
Soma Pia: Rais Samia aunda Tume Huru ya Uchunguzi wa matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025
Haya video za matukuio yalitokea kwenye maandamano yakiwemo watu kupigwa risasi na askari wao wamesema ni AI sasa hiyo tume italeta ushahidi gani wa maana?
Huku ni kuchezea KODI ZA WANANCHI