Yani hii tume alichokifanya ni kubandika tu majina anayoyajuwa yeye ya kumlinda zaidi, lakini si kuwasaidia wananchi.
Yani tume hakuna hata Human Rights Organization, wadau wengine kama Vyombo vya Habari, halafu unasema hiyo ni tume. Yani Samia kashatuona sisi watanzania ni kama bibi zake wa huko Pemba
Haya video za matukuio yalitokea kwenye maandamano yakiwemo watu kupigwa risasi na askari wao wamesema ni AI sasa hiyo tume italeta ushahidi gani wa maana?