PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yaongeza siku mbili uboreshaji daftari la wapigakura Dar

PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yaongeza siku mbili uboreshaji daftari la wapigakura Dar

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Solution ni nini?
Kwa kuwa umeniuliza swali ambalo hata wewe ungeweza kujibu .........nami nakuuliza swali unijibu............hivi ukimkuta mtu na mkeo kitandani kwako ana mtafuna utafanya maamuzi gani??.........na huku ukitambua kuwa jela ipo na inafanya kazi hata kama umeonewa kwa kuchokozwa
 
Hao wabunge wa upinzani watapitishwa na mkurugenzi Gani wa uchaguzi??
CHADEMA ikishiriki huo upumbavu kwa tamaa za wabunge wachache wanaodhani watashinda kwa hii tume ya ccm ni sawa na kujilisha upepo TU.
Sasa mkuu nini kifanyike? maana lengo la CCM ni tukate tamaa kwenda kupiga kura, kumbuka kwa sheria zetu za kijinga mbunge anaweza kuchaguliwa na hata na watu wawili
 
Sasa mkuu nini kifanyike? maana lengo la CCM ni tukate tamaa kwenda kupiga kura, kumbuka kwa sheria zetu za kijinga mbunge anaweza kuchaguliwa na hata na watu wawili
1. Tanzania tuna muda mchache sana wa nchi kutokopesheka kutokana na madeni kuwa mengi kuliko uwezo wa nchi.
2. Viongozi wa CCM wameshatengeneza vita vya kidini kati ya waislam na wakristo katika nchi hii.
3. Vijana wasomi wa kitanzania wameshapuuzwa kwenye nchi Yao Kila mwanasiasa anawaponda akisimama kuongeza, lakini pia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana halitaacha nchi hii salama.
4. Mfumuko wa bei kwa bidhaa muhimu na umasikini vinaongezeka kwa Kasi sana nchini TANZANIA.
Kuna mambo mengi sana ambayo ni kero kubwa kwa watanzania ambayo wananchi wenyewe tutasimama kwa pamoja kusema Sasa CCM BASI.
Sio zaidi ya miaka 10 inayokuja ambapo wananchi wenyewe watachukua hatamu ya kutaka mfumo madhubiti wa kiuongozi.

Kama ccm hawataki mabadiliko kwenye uchaguzi ni Bora kuwaachia waongoze wao TU lakini nature itawaondoa TU kwenye hayo mamlaka.
 
Back
Top Bottom