Tume ni Huru. Nyingine ya nini? Ushauri wangu kwenu, jiandaeni kwa uchaguzi. Mkibaki Tume Huru, Tume Huru, mtashtukia uchaguzi huo na mjajiandaa. Shauri yenu!!!!
Tume ni Huru. Nyingine ya nini? Ushauri wangu kwenu, jiandaeni kwa uchaguzi. Mkibaki Tume Huru, Tume Huru, mtashtukia uchaguzi huo na hamjajiandaa. Shauri yenu!
Litakuwa jambo jema. Hata Serikali za Mitaa si mlisusa? Kipi kimehatibika mpaka sasa hivi? Nchi imetulia tuliiii!!! Bila kusahau a multitude inayounga mkono juhudi!Bila tume huru hakuna wakushiriki huo uchafuzi wenu
In God we Trust
I don't comment on hypotheticals!Naomba unijibu haya maswali!
1. Mzazi wako anakupangia uoe/uolewe na nani... Na bado kwenye mechi zako anataka ashiriki!!
Kwa akili ya kawaida je, uko huru??
2. Timu yako inajipanga kucheza mechi ya fainali dhidi ya timu inayomilikiwa na mwenye ligi yake ambaye pia ni mkuu wa marefa na makamisaa ambaye pia ni mdhamini wa walinda usalama uwanjani... Hivi bado unapeleka timu uwanjani bila wasi kwa matarajio ya ushindi??
Huo ndio ujinga mnaojazana. Tume ya Uchaguzi Tanzania inaundwa na CCM?
Una cheo gani serikalini mkuu, hasa kwa awamu hiiTume ni Huru. Nyingine ya nini? Ushauri wangu kwenu, jiandaeni kwa uchaguzi. Mkibaki Tume Huru, Tume Huru, mtashtukia uchaguzi huo na hamjajiandaa. Shauri yenu!!!!
Ukweli hauwezi kufichika, Tume Huru ni Haki ya kila Mtanzania, japo ninakipenda chama changu, lakini ukweli utabaki kuwa ukweli, Tume huru inahitajika. Ninakasirishwa sana na chama kikuu chabupinzani, kwa uzembe unaofanywa na viongozi wa sasa. Mimi ni muumini wa siasa za mashindano, miaka ya 2010 na hadi 2015,Tume huru ni kwa ajili ya Cdm au ni kwa ajili ya taifa linaloongozwa kwa haki ?!. Ccm inajinadi kama chama imara na inayokubalika, kwa nini ihofie uwepo wa tume huru ?!. Mnapendwa sawa. Weka neutral ground kwa wote halafu ulete majigambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rais wa nchi hana chama duniani?
Una mke mkuu?
I don't comment on hypotheticals!
taja mtu mmoja tu amabaye yuko kwenye tume ya uchaguzi na si kada wa CCMHuo ndio ujinga mnaojazana. Tume ya Uchaguzi Tanzania inaundwa na CCM?
Litakuwa jambo jema. Hata Serikali za Mitaa si mlisusa? Kipi kimehatibika mpaka sasa hivi? Nchi imetulia tuliiii!!! Bila kusahau a multitude inayounga mkono juhudi!
Kaka katika vitu hawawez kufanya icho ni chakwanza Kwan watakosa wa kumlaum wao wajichanganye waone vyama vya upinzani vipo vingi na lazima vitashiriki na usidhan walisusia uchaguzi wa uenyekit kisa tume huru sio kweli sababu ni haiwalip na hawana maslai yao Sasa wewe endelea kuotaKabla ya uchaguzi wa Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA, nilipost uzi unaosema kuwa CCM wameweka mapandikizi yao yagombee lakini niliishia kupigwa BAN ya miezi mitatu na hawa moderator mpaka uchaguzi ukaisha bila bila.
Sasa leo nawaambia hivi, CHADEMA na upinzani kwa ujumla mnatakiwa kutoa tamko la kususia uchaguzi mkuu 2020 endapo tume huru haitaundwa.
Nawahakikishia kuwa WAKATI NI SASA, mtakuja kujuta huko mbeleni pale mtakaposema BORA TUNGEJUA.
Ni vema uchaguzi ukafanyika hata mwakani 2021 kukiwa na tume huru yenye maridhiano kuliko kufanyika mwaka huu kwa kutegemea FAIR PLAY ya tume iliyopo.
Msipogomea uchaguzi mkuu, HAMTOBOI.
Kwan tanzania pia si nchi ya vyama Ving why serekali ni yachama kimoja hujui huu ndio mfumo wetu bossTanzania Nchi ya Vyama vingi kwanini Tume iundwe na chama kimoja?
Sent using Jamii Forums mobile app