Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

Tume Huru ya Uchaguzi itaundwa pale tu CHADEMA na wapinzani kwa ujumla watakaposusia Uchaguzi Mkuu 2020

Trust One;
UMESEMA KWELI MKUU BILA VYAMA VYA UPINZANI KUTANGAZA KUTOSHIRIKI UCHAGUZI BILA KUWEPO KWA TUME HURU UCHAGUZI UJAO WATALIA NA KUSAGA MENO.
Tayari CCM na Magufuli wameshaona na kuamini kuwa wanaweza kufanya rafu katika uchaguzi and Get away with it. Rejea uchaguzi wa serikali za mtaa mwaka jana.
Kwa hiyo wapinzani wakijidanganya kuingia kwenye uchaguzi kwa tume hii, hakuna hata mbunge mmoja atatangazwa nandio upinzani utakapokuwa umefutwa rasmi. Na ikishatokea hivyo hakuna wa kumlilia na maisha yataendelea kama yanavyoendelea sasa baada ya uchafuzi wa serikali za mtaa.
Ni heri kutokushiriki na kwa hivyo kutuma strong message kwa jumuiya ya kimataifa ambapo baadae lazima CCM watasalimu amri na kuruhusu katiba mpya.

NARUDIA: IWAPO UPINZANI WATASHIRIKI UCHAGUZI UJAO BILA KUWA NA TUME MPYA HURU YA UCHAGUZI NDIO UTAKUWA MWISHO WA VYAMA VYA UPINZANI TANZANIA NA KUWEPO KWA KATIBA MPYA AU TUME HURU YA UCHAGUZI KWA SIKU NA MIAKA YA MBELENI ITAKUWA NI NDOTO KWANI HAKUTAKUWEPO NA MPINZANI YEYOTE MWENYE NGUVU WA KUPIGANIA HAYO.
 
CHADEMA wasiposhiriki hata hivyo vyama vingine vitajitoa 1. Ni kutokana na kukwepa aibu ya watu wachache watakaojitokeza kupiga kura. 2. Iwapo CHADEMA watatangaza kutokushiriki CCM ni rahisi kuhonga hivyo vyama vingine visishiriki ili ipite bila kupingwa kwani serikali haina pesa, hivyo wakiweza kusave pesa za uchaguzi kwao itakuwa ni baraka.
Sidhani kama kuna kitakachoshindikana endapo wakijitoa maana vyama vingine vikishiriki hata viwili tuu uchaguzi umefanyika tenna hao ccm ndio wanachoombea
 
Back
Top Bottom