Halafu eti na yeye ana wafuasi wa kumtetea kila kukicha.Chini ya Jiwe kila kitu kitapinduliwa pinduliwa na kugeuzwa geuzwa na
wapumbavu tu ndio wanaweza kuendelea kumchagua mtu design ya Jiwe.
Muache tu acheze na amani ya nchi atajikuta siku moja yupo Chato na yeye anashugulikiwa.
..jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
..tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
..lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
..nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
..Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
..Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?
Kazi ya viongozi wa dini Sio kusimamia chaguzi za serikali Wala vyama
Vyote iwe kusimamia au kukodolea macho sio kazi Yao iwe chaguzi za serikali au za club za Simba na yanga au za vyama ziwe za Chadema nk..siyo wasimamizi.
..ni waangalizi.
..na wamekuwa wakifanya hivyo tangu uchaguzi wa 1995.
Viongozi wa dini wakahubiri Injili!..jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
..tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
..lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
..nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
..Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
..Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?
Vyote iwe kusimamia au kukodolea macho sio kazi Yao iwe chaguzi za serikali au za club za Simba na yanga au za vyama ziwe za Chadema nk
Kwani kwenye uchaguzi wa ndani wa chadema mliwaita kuja kuangalia uchaguzi ulivyoenda?
Usiwe mtumwa wa historia kama ilifanyika kimakosa Huwezi endekeza makosa yaendelee..hawakuitwa ktk chaguzi za vyama.
..lakini tangu 1995 wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Usiwe mtumwa wa historia kama ilifanyika kimakosa Huwezi endekeza makosa yaendelee
Wao hawana vyama hawahitajiki kusimamia chaguzi za vyama au kuangalia vyama vikishindana
Viongozi wa dini wakahubiri Injili!