Jamani habari ya mjini ndiyo hiyo.
Tangu uchaguzi wa 1995 viongozi wa Dini wamekuwa waangalizi wa uchaguzi mkuu.
Lakini uchaguzi wa mwaka huu Tume imeamua viongozi wa Dini wasishirikishwe.
Nilitegemea kwamba ili malalamiko yasiwepo basi waangalizi walipaswa kuwa wengi.
Waswahili tena msemo wetu, "Penye wengi hapaharibiki neno. "
Na kama sisi ni taifa linalomtegemea MUNGU kwanini tunawatenga viongozi wa DINI ktk jambo kubwa na muhimu kama uchaguzi mkuu?