Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Serikali yetu si secular, rais haishi kumtaja Mungu kwenye mambo ya serikali. Mpaka bunge linafunguliwa kwa dua...labda hii hatua ya kuweka msisitizo kwamba serikali yetu ni secular.
Hawajakataza hili kwa sababu wanataka kuwa secular.
Hawataki viongozi wa dini wapate cha kusema ikiwa kuna figisu kwenye kuiba kura huko.