mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Apia😂Tume iwaapishe ili tar 28 tukamalizane na Maccm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apia😂Tume iwaapishe ili tar 28 tukamalizane na Maccm
Nccr mageuzi ni chama makini,angalia hata ufafanuzi wa hili tatizo. Hayo mengine unatusingiziaNyie NCCR si ndio mliahidiwa kuwa chama kikuu cha upinzani mkaamua kukubaliana na utapeli wa Magufuli. Lengo ilikuwa ni kugomea uchaguzi hadi tume huru, lakini mkakubali kutumika ili mshiriki uchaguzi kuua nguvu ya madai ya tume huru. Sasa mnalia baada ya kuona ahadi mliyopewa mmeachwa kwenye mataa. Ingizeni wanaNCCR mageuzi mtaani madai kuapishwa
Nccr mageuzi ni chama makini,angalia hata ufafanuzi wa hili tatizo. Hayo mengine unatusingizia
Ulitaka wachukue hatua gani?Wanafafanua uhuni. Unafanyiwa uhuni wa wazi kisha ujifanye unafafanua!