PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kumbe sheria zilishabadilika kweli nimepitwa mengi.

Mimi nilikuwa najua viti maalum wanapatikana kwa idadi ya asilimia ya kura za ubunge majimbo yote.
 
CDM wanapambana kwenye twita, CCM inafanya kazi kwa wananchi moja kwa moja. This is our State Duma

Asante Mungu kutuletea CCM.

Mungu ibariki Tanzania
 
..Yupo Mwanaenzi Hassan Suluhu.
Vipi mkazi wa Mwananyamala ya huko ulaya vijijini. Hali ya kuosha vikongwe vya kizungu inaendeleaje? Kwikwikwikwi

Mwanaume mzima unakimbia nchi yako kwa uzembe na kwenda kuosha wazungu!!!?
 
Mtoto pendwa wa Samia , Zitto Kabwe wamemkumbuka naye!?
 
yericko nyerere sasa akakate Govi lake
 
Wanaondoa ukomo wa muda wa urais 😯😯
 
Hivi mnapata wapi ujasiri wakuuita tume huru?
 
CDM wanapambana kwenye twita, CCM inafanya kazi kwa wananchi moja kwa moja. This is our State Duma

Asante Mungu kutuletea CCM.

Mungu ibariki Tanzania
Hivi hua mnalipwa kiasi gani kuandika huu ujinga? Jaribu basi kuutoa mdomo wako kwenye kalio la Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…