PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

PostGE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi INEC yatoa orodha wabunge viti maalum CCM wapo 113, CHAUMMA 2

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vitu kama hivi viangaliwe, 116 kisa qanawake na jinsia inawabeba hivyo tu yaani.
 
Janet Peter pinda,
Tinnary Andrew chenge
Pindi hazzara chana .

Majina ni Yale Yale wazee wa KAZI chafu 😂
 
CDM wanapambana kwenye twita, CCM inafanya kazi kwa wananchi moja kwa moja. This is our State Duma

Asante Mungu kutuletea CCM.

Mungu ibariki Tanzania
CDM haijashiriki uchaguzi ila bado ipo midomoni mwenu wanaccm..
 
Back
Top Bottom