tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
wa2 acheni kukalili!we fuata maelekezo yaliyomo kwenye tangazo husika,ila kwa ajira za serikalini,barua lazima iandikwe kwa mkono(sio typing)na ndilo huwa hawasemi!lakini mengine yote husemwa.
huo ulazima unautoa wapi? Nimewahi pata kazi mbili, pasipo kucertify wala kupeleka vyeti original
Sijaambiwa ni certify, wamenambia nitoe nakala za kopi za vyeti, achen longo longo, tatizo le2 wabongo sehem ya kujamba tunataka kuarisha, tufateni masharti ya matangazo husika na si kugeneralise basing on our old schematas.
katangeneze mhuri pale posta acha kuwa mvivu wa kufikiri .hujawahi kusikia huko dodoma wizara ya nishati kwenye elfu 20 waliongeza sifuri moja mbele wakalamba dume.
nafikiri litakuwa jambo la busara sana,hakuna jinsi hapa zaidi ya kujitafutia muhuri wako.thanks mkuu!katangeneze mhuri pale posta acha kuwa mvivu wa kufikiri .hujawahi kusikia huko dodoma wizara ya nishati kwenye elfu 20 waliongeza sifuri moja mbele wakalamba dume.