NCHI INA MAMBO YA UONEVU SANA HII Halafu wanasema NCHI ya AMANIAkiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini
Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu kujua walipo Watuhumiwa wanapokamatwa.
View attachment 2688690
Hivi hii tume ipo ?Akiwasilisha Mapendekezo mbele ya Rais Samia, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu, Mohamed O. Chande amesema wamebaini hayo baada ya kuhoji Watuhumiwa katika Vituo 46 vya Polisi Nchini
Pia, Tume imebaini uwepo wa Taasisi nyingi za ukamataji na zenye Mahabusu hali inayosababisha ugumu kujua walipo Watuhumiwa wanapokamatwa.
View attachment 2688690
Wapi?Hivi hii tume ipo ?