VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 2,987
- 1,954
mzee Warioba ana upeo mkubwa kuliko wewe, babako na mamako yule mpiga mayowe na kelele bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
- Mkuu wacha kuongelea usiyajua ongelea unayoyajua haya ya USA huyajui ungeyajua basi usingeandika hizi nyepesi nyepesi, ha1 ha! ha!
Le Mutuz
- Sijaona hadidu zako zinaposema tume inatakiwa kutengeneza maoni ya wananchi au? Kuhusu mimi nipo supa sana ndio maaana mabebs wanajigonga gonga sana u know that, so worry not na me I am fine sana!! ha1 ha!
Le Mutuz
This guy is possibly mentally derranged.- Nah nataka katiba bora na ili kupata katiba bora Wapinzani mnahitaji kuomba kuahirishwa kwa mchakato wa sasa mpaka mtakapokuwa na wabunge wa kutosha bungeni so far hamna, ndio political fact on our land, poleni sana huwa mnapenda kurukia rukia sana mambo bila kufanya utafiiti!!
Le Mutuz
Le Mutuz!
Wewe ndiyo hoja zako kuhusu Kamati ya Mzee Warioba ndiyo lege lege mno na hazina mashiko!Habari sijui kama Mzee Warioba anatugawa wananchi hazina any legitimate back up;habari kama Mzee Warioba anapenda media nazo ni za hovyo hovyo tu!
Labda usichojua ni kuwa Tume ya Warioba itakusanya mawazo tu na kuyahifadhi kwenye kumbukumbu,vitakuja vitu kama Bunge la Katiba na referendum ili wananchi wapige kura kuamua kama rasimu na vipengele vyake vipite au la!Kumsakama Mzee Warioba kwa kazi halali aliyopewa kisheria ni kutojua lolote!
Hii habari yako kila unairudia hapa kuwa CCM lzm wafanye watakalo ktk katiba kwa sababu wapo wengi Dodoma mjengoni inaonyesha hujui lolote kuhusu katiba inavyotengenezwa!Nakukumbusha pia kuwa kazi ya Bunge hili ni kupitisha tu katiba na kazi kubwa ya kuundwa katiba inafanywa na Bunge la Katiba ambalo wajumbe wake inabidi wasiwe wana siasa wala kupendelea chama chochote kile!
Le Mutuz siku zingine tumia muda wako vyema,fungua hata google uone katiba za wenzetu zilivyotengenezwa;Bunge ni hatua ya mwisho kwenye katiba mpya na Bunge haliwezi zuia katiba ya watu!Badala ya kurandaranda huko na vibinti usiku wa manane kaa chini siku moja moja soma katiba na uundwaji wake!
point of correction... we are not amending the constitution,we are making the new constitution.W. J. Malecela
any constitution amendment which does not come through the ballot is a big joke! I am not in favor of this tume however if Tanzanians wants their katiba changes implemented through the group of morons then let it be done that way; why the government is scared to bring the changes through the ballot???? we know what we want; it does not make any sense to give group of people absolute power to do the changes on our behalf; it seems majority of Tanzanians don't the faith with TUME so why take short cut??? extending their time does not mean anything because whatever outcome will not reflects the will of Tanzanians; we missed opportunity of making real changes because of lack of strong opposition and I still doubt if MPs who were elected through corruptions and other means can bring the changes!
Inaelekea haikuingii akilini katiba ni zaidi ya chama na ni mustakabali wa nchii na vizazi vya watoto wetuu.. Mawazo yako yamejengwa juuu ya chama kushika hatamu na naona kweli kimefanikiwa maana hata mawazo yako yameshikwa hatamu, bahati mbaya ni kwa fikra za mwenyekiti zinatofautiana na unachokiamini... ndani ya ccm unatapatapa na kila hatua unayochukua unajichimbia kaburiii... kwenye haya mambo ya katiba unatakiwa uwe makini sanaa maana ushatoa kauli nyingi za utata ambazo zinaonyesha unapingana na kumdhalilisha mwenyekiti wakoo, slow down boy... na anza kufikiria maisha yako nje ya ccm yatakuwaje... unapenda kujipa ubwana mkubwa ambaoo ambao huna na kutoa kauli za kumshurutisha mwenyekiti wakooo.... i told u before and i willl say the same word, ''watch your back boy.''
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Zidumu fikra za mwenyekiti na siasa ya ujamaa na kujitegemea..
point of correction... we are not amending the constitution,we are making the new constitution.
This guy is possibly mentally derranged.
- ha! ha! kwanza sina watoto 4 na besides fungua thread inayonihusu, Katibu wako wa Taifa ameacha mke na sasa anagombea mke wa mtu, so tumia akili kidogo unapoamua kuongelea mambo yasiyohusu maana huenda unajicheka mwenyewe, afadhali ya kukimbizana na kila lulu single babes kuliko mke wa mtu kwenda naye mahakamani, ha! ha! ha!
LE Mutuz