Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

- HAtimaye umeongea hoja nzito, sawa sawa mkuu wangu kwa hili naweza kukubali.

Le Mutuz
Mkuu ndiyo maana nikasema anayetakiwa kupigwa risasi za kisiasa ni Mwenyekiti wako Taifa kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Tanzania tuna matatizo sana na tena makubwa kwenye hii wizara na pia hata kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Hata kitengo cha uchunguzi wa makosa ya jinai nchini nacho ni inept and corrupt.

Kuirushia risasi za kisiasa Tume ya Jaji Warioba ni kuionea kwa sababu sheria zinazoisimamia hazina mipaka kuhusiana na mchakato huu.

Nilishangaa sana niliposoma kuwa Tume itafanya lolote inalodhani litafaa katika majukumu yake. Huku ni kupewa nguvu ambazo hazina mipaka kisheria bali zina mipaka kiutashi. Very strange.

Waache wazee wetu waendelee kucheza na unlimited power kisheria!.
 
Kwani zile ziara zako za kipuuzi unazofanya na Bulembo unajua ni nani anazilipia ? Mbona hakuna aliyeandamana kuzipinga japo hazina tija !
 
Wewe jamaa ni mweupe sana, kazi yako ni majungu matupu, yaani nyie watu wa ccm mnafikiri katiba ni sawa na katiba ya ccm, tume ya warioba mwaka huu imewashika pabaya. Mzee warioba amelitendea mema taifa lake! Mtasema sana hii tume itaendelea na kazi yake bila shida!
 
Kumbe sometimes akili huwa zinakurudi, Tanzania Kwanza ndio habari ya mjini

Ifike wakati tuchore mstari kati ya wafia nchi na wafia chama kama hili dude, Obeja getegete ngosha.
Bhebhe ngosha. Akili kunirudi ni subjective.

Kwa mawazo na fikra zako unafikiria kile unachokikubali ndiyo ukweli na wale wasiokubalina na mawazo yako akili zao zimewatoka.

Jaribu kujitathimini kwanza kabla ya kupaint wanaJf kwa brush ya aina moja kwa vile wako kinyume na mtazamo wako. Hata shilingi ina pande mbili so as mitazamo na fikra.
 
mimi nadhani unapigana na giza!.

Utamaliza risasi zako za kisiasa bure wakati adui siyo tume ya jaji warioba bali yule aliyeiweka hiyo tume ambaye unfortunate, ni mwenyekiti wako wa chama taifa. You better start shooting him down (rais kikwete) kwa sababu anawachanganya kimawazo na kimtazamo watu kama wewe ambazo siasa zenu niza mlengo wa confrontation politics!.

Kama huwezi kum-shoot down mwenyekiti wako wa taifa basi spare the bullets ili uzitumie wakati wa kura za maoni ya katiba. Wahamasishe wanachama wako waikatae rasimu ya katiba mpya kwenye kura za maoni badala ya kupiga kelele barabarani bila targeted audience.

You are missing a political opportunity wakati time is money!.

u are rigth mkuu....
 

Attachments

  • 1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    6.5 KB · Views: 133
- Nitakapofikisha miaka 55 nitakwambia maana hata MWenyekiti wako wa Chadema ambaye ni mkubwa kwa umri kuliko mimi hajafikia miaka 55, so relax bro halafu usiniambie kwamba Slaa mwenye miaka 75 hafai kabisa maana kwa hii hoja yako ina maana mwenye miaka 75 anatakiwa kufa kabisa au? ha1 ha! Le Mutuz
nitashangaa sana kuona ya kwamba Chadema wanamteuwa Dr Slaa kugombea, ni sawa na kumteuwa Sugu kugombea urais Tz. Dr kachoka, Uwezo wa kufikili uliishakwisha.
 
huyu kijana ni balaa tupu, inaonekana kwa totoz anatisha!! Huyu kwa maadili haya hafai hata kuwa mbunge, kama akifanikiwa kuupata ubunge, yaani warembo kwenye jimbo hilo watamtambua...

Mkuu kimtazamo upo sahii kabisa, ila ndani ya chama chake mbona ata akiutaka uenyekiti wanampa, ataakitaka kugombea uraisi ccm wanamsimamisha.
Huu ukoo wa panya tz utatumaliza
 
- Big nah! hawa tume ya Katiba wamegeuka kuwa opposition Institution ndani ya Serikali, wasiongezewe muda ni muhimu sana wakaondolewa hata leo kwa sababu tayari walishaamua mapema sana matokeo kabla hata ya kukusanya maoni kama walivyotakiwa na Sheria iliyowaunda. Nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu nikiwa Moshi kwenye mkutano wa Tume hii na wananchi, Mjumbe wa Tume hii Butiku akiwakaripia wananchi kwamba Serikali tatu haina mjadala tena imeshapita, wananchi walipomjia juu akasema kwamba hana muda wa kusikiliza tena maana hiyo hoja tayari imeshapita, hivi hii tume ni kweli iliundwa kulazimisha wananchi hoja au maoni yao?

Kamtafutie kibajaji kwani uelewa unao jinsi vibajaji vilivyo na uwezo wa kuangusha matingatinga
 
Kumbe John Chigimwesi, amekuwa ustaadh siku hizi?! Hizo naona ni Breaking news!
 
Ni bora familia yako ikakufanya msukule ,,ili wapate pesa yakufanya siasa,,maana hauna faida katika jamii,,,,miaka 55 bado unajiona kijana,,kata rufaa basi urudi uwe kijana,,,,

mzee warioba ni baba yako ,,,,lakini unaleta siasa kwa mzee mwenye hekima kama huyu ,,mzee wetu mzee warioba,,,,au hiyo nafasi ulitaka apewe nani katika familia yako?
 
Le Mutuz, una shida sana, bahati mbaya hujui unasumbuliwa na ugonjwa gani. Hakika kicheko chako cha hahahahaha kinanisikitisha tena kwenye mambo ya msingi na ya maana. Kule kwetu wangkuambia wewe ni mwanamke. Au unacheka kcheka kama mwanamke
 
Inawezekana huu ni wivu na chuki tu zinazokusumbua, hivi ulitaka mwenyekiti wa tume awe baba yako? Mtasema sana tume iko ngangari, warioba endelea kupiga kazi!
 
- U know what I love me kwa sababu all my topics huwa hamuwezi kujibu hoja kwa hoja, maana mnajua ukijaribu nitawachana zaidi so huwa mnaleta hizi za ujinga ujinga kujaribu kubadilisha topic, ok boss fungua thread ya Mwalimu na Malecela hii inahusu Tume ya katiba, ha! ha! ha!

Le Mutuz



kweli eti mshua wako alibadili dini ili waarabu wampe pesa ya kampeni?nyerere ndie alisema.jibu haraka
 
Wapinzani ombeni kuahirishwa kwa hili zoezi la katiba mpya maana time is not on your side now hata ianguke mvua ya mawe ni CCM yenye Wabunge wengi bungeni ndio itakayokuwa na haki kisheria kuamua katiba iwe vipi

Le Mutuz
Katiba inatengenezwa na wananchi wote na sio BUNGE;mentality kuwa katiba itatengenezwa na Bunge iachwe haraka!

USA kwa mfano wakati wanatengeneza katoba yao wanasiasa walikuwa % 8 ya wajumbe wote !

Bunge litatumika kuipitisha tu katiba sio kuitengeneza!
 
Sikujua kama jamaa huyu amejaa pumba kiasi hiki! hivi wengine mnasomaga vyuo gani jamani mbona hata haviwiani na elimu inayodaiwa kuwa unayo? NINGEKUWA MIMI NINGEKAA KIMYA maana thread hiyo imekudhalilisha kabisa pole!
 
- At least huwezi walinganisha na yule kibabu anayegombea mke wa mtu mahakamani na huku kinataka urais, ha! ha! ha!

Le Mutuz

tatzo lako liko apa, unataka watu wazima tuone ulicholeta alaf unaingiza utoto kama unacheza na watoto wenzio...kwa taarfia yako rudisha kadi, piga binuka...tunawaongezea muda wakamilishe kazi yao ....sisi wananchi hatujaituma tume aidha kukataa serikali3 , 4 au mbili,,,ayo ni mawazo yako...note my words,tunawaongezea muda, vimba pasuka,ni juu yako....
 
- Big nah! hawa tume ya Katiba wamegeuka kuwa opposition Institution ndani ya Serikali, wasiongezewe muda ni muhimu sana wakaondolewa hata leo kwa sababu tayari walishaamua mapema sana matokeo kabla hata ya kukusanya maoni kama walivyotakiwa na Sheria iliyowaunda. Nimeshuhudia kwa macho na masikio yangu nikiwa Moshi kwenye mkutano wa Tume hii na wananchi, Mjumbe wa Tume hii Butiku akiwakaripia wananchi kwamba Serikali tatu haina mjadala tena imeshapita, wananchi walipomjia juu akasema kwamba hana muda wa kusikiliza tena maana hiyo hoja tayari imeshapita, hivi hii tume ni kweli iliundwa kulazimisha wananchi hoja au maoni yao?

- Tume imejitwika madaraka makubwa mno ya kutengeneza maoni ya wananchi badala ya kusikiliza maoni ya wananchi, kama tume ina tatizo na maoni ya wananchi kuwa sio yao basi ingeandika kwenye majumuisho kwamba ina wasi wasi maoni mengi ya wananchi hayakuwa yao yalikuwa ni ya vyama vya siasa kwa sababu vyama vyote vya siasa nchini vinahusika na kuwapiga msasa wananchama wake kuhusu interest za vyama vyao kwenye katiba mpya wala sio siri. I mean kwa wajumbe wa Tume kuwakaripia wananchi wakitoa maoni yao kama nilivyoona Moshi na Singida, ni very clear kwamba Tume ilishapoteza uhalali wake kisheria siku nyingi sana.

- sijawahi kuona Tume ya kukusanya maoni tu, ipo kwenye media kila siku wajumbe wa tume wanaongea na media almost kila wakati WHY? Kazi yao ni kukusanya maoni tu sasa kwenye media wanatafuta nini? Wajumbe wa Tume wameingia mpaka kwenye malumbano na wanasiasa WHY? Kazi yao si ilikuwa kukusanya maoni tu ya wananchi, mbone tume zingine zilizopita hatukuwasikia kwenye media mpaka walipofikia kutoa ripoti tu, hii tume ya Katiba imepata wapi haya mamlaka mazito ya mpaka kukemea wananchi kuhusu maoni yao binafsi kwenye mikutano yake?

- The more wanavyozidi kuwepo ni more wanavyozidi kutuchanganya na kutugawa wananchi kwa sababu wanapenda sana media, nilijua muda hautawatosha maana kila wakati wapo kwenye malumbano na wanasiasa kwenye media sasa muda wa kuchambua maoni watautoa wapi? Nasema hivi Ikulu isiwape muda zaidi maana hii tume ni useless na ni waste, I mean katika kutembelea Dunia nzima as I have done except nchi 10 tu sijawahi kusikia tume inayokusanya maoni ya wananchi inalumbana na na walioituma kabla ya kuwasilisha ripoti yake, kwa kawaida huwa kunakuwa na malumbano baada ya kuwasilisha sio in the process ya kukusanya maoni, ndio ninasema hii ni tume iondolewe now inapotesa muda bure na mapesa ya wananchi, haifai kwa sababu ina wajumbe waliokwisha amua mapema sana maamuzi yao yawe ya wananchi na huku wakijua wazi kwamba ni against the law!

- HII TUME WANATUVURUGA VICHWA BURE WANANCHI IONDOLEWE NOW NA ISIONGEZEWE MUDA KABISA KWA SABABU TAYARI MWANANCHI KAMA MIMI NAJUA MATOKEO YA UCHAMBUZI WAO UTAKUWA NI NINI KUTOKANA NA MANENO YAO MENGI SANA KWENYE MEDIA NA MIKUTANO YAO, SO WAPO COMPROMISE HAWAFAI! NA NASHAURI IN THE FUTURE TUME KAMA HIZI WAPIGWE MARUFUKU KUONGEA NA MEDIA AU KUWEKA MAONI YAO KWA WANANCHI!!

- KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!


Le Big Shoow - The King Of All Bongo Network Social Media@ Blogu ya Wananchi.

Le Big Shoow - The King Of All Bongo Network Social Media@ Blogu ya Wananchi.

Kwanza nianze na haka ka-signature kako. Sijui wewe ni king kwenye eneo gani. Maana mimi sijawai hata kutembelea hizo blogu zako. Poor signature!!

Pili, sijui unawasema wananchi gani. Mimi nadhani usema Tume ya Mzee Jaji Warioba inawachanganya CCM na Vibaraka wake. Na sijui ulitaka Tume ikae kimya wakati kuna vijiwanasiasa vinatoa maneno ya uchochezi kwenye mikutano ya siasa kama yule Bulembo sijui.
 
Sikujua kama jamaa huyu amejaa pumba kiasi hiki! hivi wengine mnasomaga vyuo gani jamani mbona hata haviwiani na elimu inayodaiwa kuwa unayo? NINGEKUWA MIMI NINGEKAA KIMYA maana thread hiyo imekudhalilisha kabisa pole!

Mkuu huyu jamaa ana laana ya kutelekeza familia ikiwa na watoto wanne kule USA. Kaja hapa anashinda na vimalaya vya Bongo movie tu, baba zima linakimbizana na akina Lulu. Huyu Lulu kwake ni mjukuu. Maana lina miaka 55+.
 
malecela angekuwa mwenyekiti wa tume angelilia atolewe kama hivi.babake mwenyewe alioa kipindi cha kuwania uraisi baada ya kuitwa mhuni.kaacha kuchukua bakuli akakaa mnazi mmoja kudumisha kipaji cha kabila anataka uraisi.
 
Back
Top Bottom