Kimagege
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 283
- 88
ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku ambazo wakristo hususani wakatoliki huudhuria ibada za awali kuelekea pasaka yaani alhamisi kuu(karamu ya mwisho ya kristo na wafuasi wake),ijumaa kuu(mateso ya kristo) na jumamosi kuu(mkesha wa pasaska).nasema wazi kuwa hii ni hujuma kwani haiwezekani ikawa kuwa tume ya warioba yenye watu wa dini zote ilishindwa kuliona hili.hivi kama zoezi hili la katiba ni la watanzania wote kwanbini isingewekwa siku ambazo watu wote wenye dini na wasio na dini wangeenda kupiga kura?kwanini tuandae mazingiras ya kuwatenga na kuwanyima fursa watu wa dini fulani?tusipoangalia mchakato huu wa katiba utalta ufa mkubwa kenye umoja na mshikamano wa taifa letu.