Tume ya katiba yawahujumu wakatoliki;kura za kuchagua wajumbe wa mabaraza ya katiba wilaya kupigwa

Status
Not open for further replies.

Kimagege

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
283
Reaction score
88
ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku ambazo wakristo hususani wakatoliki huudhuria ibada za awali kuelekea pasaka yaani alhamisi kuu(karamu ya mwisho ya kristo na wafuasi wake),ijumaa kuu(mateso ya kristo) na jumamosi kuu(mkesha wa pasaska).nasema wazi kuwa hii ni hujuma kwani haiwezekani ikawa kuwa tume ya warioba yenye watu wa dini zote ilishindwa kuliona hili.hivi kama zoezi hili la katiba ni la watanzania wote kwanbini isingewekwa siku ambazo watu wote wenye dini na wasio na dini wangeenda kupiga kura?kwanini tuandae mazingiras ya kuwatenga na kuwanyima fursa watu wa dini fulani?tusipoangalia mchakato huu wa katiba utalta ufa mkubwa kenye umoja na mshikamano wa taifa letu.
 
Kwani Pasaka ni ya Wakatoliki tu? Hivi madhehebu mengine ya Kikristu hawana Pasaka?. Heading yako imekaa kibaguzi.
 
Ukweli utabakia kuwa ukweli tuu,hapa ni wazi kwamba wanafanya hivyo ili washindwe kushiriki hili zoezi muhimu.ila mungu atawalipia, cha muhimu ni kuhakikisha wanashiriki hata kama hawatakwenda kusali
:nono:
 
Pasaka ni siku kuu ya wakristo wote.Hizi tabia za ulalamishi haziko kwa wakristo muzeee.
 
Dah,..watanzania wa leo bwana, kila kitu dini
 
acha utoto wewe.soma uel;ewe.nani kataja pasaka hapo?

Yaelekea wewe ndio mtoto. Ulichokisema "alhamisi kuu(karamu ya mwisho ya kristo na wafuasi wake),ijumaa kuu(mateso ya kristo) na jumamosi kuu(mkesha wa pasaska)." Sasa kwani hayo ni ya Wakatoliki tu. Achana na tabia ya kulalama.
 
you have a point buddy ila i think katiba mpya ndio inatakkiwa kufafanua haya mambo, kwahiyo kwa sasa tuvumiliane tu
 
USIWE MBULULA MBONA WAISLAM IJUMAA WANAENDA KAZINI, sembuse hiyo pasaka isiyo kuwepo?
 
Yaelekea wewe ndio mtoto. Ulichokisema "alhamisi kuu(karamu ya mwisho ya kristo na wafuasi wake),ijumaa kuu(mateso ya kristo) na jumamosi kuu(mkesha wa pasaska)." Sasa kwani hayo ni ya Wakatoliki tu. Achana na tabia ya kulalama.

akili yako ndogo sana.ni waanglikana tuu wanaotambua siku hizo ukiwaacha wakatoliki
 
USIWE MBULULA MBONA WAISLAM IJUMAA WANAENDA KAZINI, sembuse hiyo pasaka isiyo kuwepo?

Join Date : 20th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given
0

ninakusamehe.
 
ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku ambazo wakristo hususani wakatoliki huudhuria ibada za awali kuelekea pasaka yaani alhamisi kuu(karamu ya mwisho ya kristo na wafuasi wake),ijumaa kuu(mateso ya kristo) na jumamosi kuu(mkesha wa pasaska).nasema wazi kuwa hii ni hujuma kwani haiwezekani ikawa kuwa tume ya warioba yenye watu wa dini zote ilishindwa kuliona hili.hivi kama zoezi hili la katiba ni la watanzania wote kwanbini isingewekwa siku ambazo watu wote wenye dini na wasio na dini wangeenda kupiga kura?kwanini tuandae mazingiras ya kuwatenga na kuwanyima fursa watu wa dini fulani?tusipoangalia mchakato huu wa katiba utalta ufa mkubwa kenye umoja na mshikamano wa taifa letu.

Bayati nzuri Mwenyekiti wa Tume si mwislamu....... Leo tusingelala!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom