PostGE2025 Tume ya kuchunguza mauaji ya oktoba 29, chini ya Jaji Chande iwe wazi live mubashara

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wajinga nchi hii tumekuwa wengi sana.

Yani bado mnaamini kuna tume?

Imekutana nani, lini , kwa nini?

Bi kidawa kesha sema aliuwa ili kulinda wasimpindue, mnasubiri wao waseme nini?
 
Baada ya Samia kuhalalisha mauji mbele ya wazee ukumbi wa JNICC DSM, wadau waja juu


View: https://m.youtube.com/watch?v=vkNMzFIs6oAMauaji ya tarehe 29 Oktoba 2025 hadi November 4, 2025 yafuatayo yalitokea
  • Asilimia kubwa ya raia waliouawa ktk majumba yao mbali na njia za maanndamano
  • Kukaa ndani hakukuwahakikishia uhai wao raia Shehe Majini alipigwa risasi nyumbani
  • December 9 2025 pattern hiyo ya mauaji inaweza kurudiwa
  • Dhumuni la dola kuwapiga risasi raia waliopo majumbani ni kutisha raia
  • Hakuna namna lazima raia washiriki haki yao ya maandamano maana wauaji huwafuata majumbani mwao
  • N.k
TOKA MAKTABA:
Waliouliwa majumbani kuanzia Oktoba 29, 2025. Mwaipopo amwaga machozi rafiki yake kupigwa risasi nyumbani

View: https://m.youtube.com/watch?v=D_re3Bc4c7Y
Sheikh Majini akihimiza watu kukaa nyumbani wasishiriki maandamano, lakini akauawa nyumbani kwa kupigwa risasi na vikosi maalum
 
Habari za kawaida za kijamii haupo uwazi,je inawezekanaje habari za kisiasa ama za kiuchunguzi ziwekwe wazi?who are you?
 
Mkuu wa Idara ya Habari CHADEMA akiwa uhamishoni azungumza mazito


View: https://m.youtube.com/watch?v=tkHzeukGufk
Katika mahojiano haya exclusive ya kipekee, mwanahabari mpekuzi Francis Ontomwa anaongea na kada wa CHADEMA kamanda Gerva Lyenda, Mkuu wa Idara ya Habari wa CHADEMA, ambaye anakanusha madai kwamba chama hicho kinafadhili maandamano ya Desemba 9,2025 na kuieleza dunia hali halisi ya kisiasa, kiusalama na kijamii ilivyo chini ya utawala wa Samia Suluhu Hassan..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…